SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,718
Umeua.. Hapo mwizi anakamatwa kiulainiiMkuu, nenda pale loans board Mwenge ukachukue systement. Jitambulishe kama mdhamini wake.. Hapo ndo utapata ukweli. Nenda na regstration number yake...
Umeua.. Hapo mwizi anakamatwa kiulainiiMkuu, nenda pale loans board Mwenge ukachukue systement. Jitambulishe kama mdhamini wake.. Hapo ndo utapata ukweli. Nenda na regstration number yake...
EconomicsAnasoma kozi gani niwaulize hapa.
Ud haiwezekan semister iishe eti kuna college hawajapewa boomMkuu SHAMAC, asante kwa kunipa uzoefu. Ni kweli yule kijana anadai wanafunzi wengine wote wamepewa isipokuwa wanafunzi wa colleges mbili, ikiwemo ya kwake! Mshangao wangu naona semister karibu inaisha lakini bado anasema hawajapewa. Mimi sina uzoefu na UDSM maana nimepitia kwingine!