Msaada kwa Mwanaume Yeyote aliyepata Suluhisho la upungufu wa Nguvu za Kiume

Asikudanganye mtu huwezi ukapona nguvu za kiume kwa kutibiwa kienyeji au hosptalini.

Nguvu za kiume ni tatizo linaloanzia kwenye saikolojia.

Anza kujitibu kwanza kisaikolojia, kisha Fanya mazoezi , kula misosi inayoeleweka na ondoa mawazo machafu akilini mwako.

Hakika utakuwa fiti.
Mtoa mada jibu lako liko hapa.

Hakunaga dawa za kutumia ili uwe na nguvu za kiume. Solution yake fanya mazoezi ya kukimbia kadri pumzi yako inavyoongezeka na nguvu za kiume zinaongezeka sambamba.

Kisha kula matunda mara kwa mara hasa hasa ndizi,tikiti maji na parachichi. Nilishawahi kujaribu hiki kitu nikaona faida yake. Kwanza sasa hivi ukipata demu jaribu kitu hiki halafu upime matokeo,kabla ya kuanza mechi nunua ndizi mbivu mbili au tatu kula halafu ukishamaliza kula tu nenda mchezoni utaona mashine inavyokaza na utapiga shoo kwa muda mrefu kuliko kawaida yako baadae utaleta mrejesho hapa.
Nilikuwa na tatizo kama lako baadae nikajaribu hizo njia nikaona matokeo.

Ndio maana kuna wale mafundi ujenzi kwenye mechi huwa ni mziki mnene kwa sababu kazi yao ni mazoezi makali.

Nina rafiki yangu mmoja ni fundi ujenzi shuhuli yake huwa akiishi na wanawake wanamkimbia wanasema hachoki kila mara anataka kurudia mechi na ni za masafa marefu.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Nipo mkuu nimeweka waz
Shida yako haujibu maswali unayoulizwa. Umekazana kusema tu umejibu wakati hujajibu swali husika. Umeulizwa swali la msingi kabisa "hili tatizo limesababishwa na nini?" Unarukaruka tu hata haujibu.

Watu wanategemea angalau useme labda ulikuwa unajichua, au ulipata ajali na mambo kama hayo ila umekazana kutoa majibu irrelevant ambavyo watu hawajakuuliza.
 
Mtoa mada jibu lako liko hapa.
Hakunaga dawa za kutumia ili uwe na nguvu za kiume.
Solution yake fanya mazoezi ya kukimbia kadri pumzi yako inavyoongezeka na nguvu za kiume zinaongezeka sambamba.
Kisha kula matunda mara kwa mara hasa hasa ndizi,tikiti maji na parachichi.
Nilishawahi kujaribu hiki kitu nikaona faida yake.
Kwanza sasa hivi ukipata demu jaribu kitu hiki halafu upime matokeo,kabla ya kuanza mechi nunua ndizi mbivu mbili au tatu kula halafu ukishamaliza kula tu nenda mchezoni utaona mashine inavyokaza na utapiga shoo kwa muda mrefu kuliko kawaida yako baadae utaleta mrejesho hapa.
Nilikuwa na tatizo kama lako baadae nikajaribu hizo njia nikaona matokeo.
Ndio maana kuna wale mafundi ujenzi kwenye mechi huwa ni mziki mnene kwa sababu kazi yao ni mazoezi makali.
Nina rafiki yangu mmoja ni fundi ujenzi shuhuli yake huwa akiishi na wanawake wanamkimbia wanasema hachoki kila mara anataka kurudia mechi na ni za masafa marefu.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Nimekupata mkuu nazingatia kwa umakini.
 
Shida yako haujibu maswali unayoulizwa. Umekazana kusema tu umejibu wakati hujajibu swali husika. Umeulizwa swali la msingi kabisa "hili tatizo limesababishwa na nini?" Unarukaruka tu hata haujibu. Watu wanategemea angalau useme labda ulikuwa unajichua, au ulipata ajali na mambo kama hayo ila umekazana kutoa majibu irrelevant ambavyo watu hawajakuuliza.
Tatizo limeanza lenyewe mkuu nilikuwa poa tu.
 
Utaambiwa mengi ila dawa kamili ni kula kwa wakati, mazoezi na kupata muda wa kupumzika. Kula ninayoiongelea sio lazima uchague vyakula. Muhimu ule kwa wakati ushibe.

Ukizingatia haya usipopona wahi hospital haraka sana!
 
Wewe kazi zako ni za kukaa ofisini au za kuchakarika?au ni mtu wa kulala tu nyumbani masaa 24?Unapendekea kula vyakula vya aina gani?
Ukijibu hapa tutajua kilichokuathiri

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Ofisini nafanya! Chakula nakula kawaida cha home nakunywa chai asubuhi sana home nikifika ofisini nakunywa saa nne mara nyingi lunch uwa nakula miwa nikirudi home saa kumi na nusu nakuta msosi pia night nagusia kidogo nalala.
 
Naomba kujua historia yako ya kufanya mapenzi, una uchakavu kiasi gani?
 
Mkuu huna tatizo ,chakufanya ...

Piga zoezi asubuhi na jioni hakikisha mwili una toa jasho ,kama umaweza ,cheza cheza mpira. Hakikisha unakunywa maji mengi. Achana na soda ,pombe na vinywaji vingine vya gesi.

Kula chakula safi ,ugali nyama ,samaki ,kula matunda. Usipende kukaa pekee yako ,jichanfanye mtaani ,usiwaze kuangalia picha za ngono wala video. Usilale na mwanamke hata wiki ,machine ikiwa inaamka imesimama asubuhi iachee kama ilivo ,waza kazi nyingine.

ikifika wakat machine inasimama yenyewe hata kama uko barabarani ,kazin ,ofcin bila kuona mwanamke au picha ya utupu jua umeanza kurudi kwa hali yako.

Ukiwa chumban na mwanamke usipaparuke,relax tulia ,piga romance ,chomeka ,peleka moto. Ukifuata hayo ,ndan ya mwez mmoja tu utakuwa umeona mabadiliko.

Mwisho kabisa ,ACHA KUPIGA PUNYETO .....
 
Mkeo unampenda?bado ana mvuto?chanzo kikuu cha nguvu za kiume ni wanawake ,jaribu kupiga kazi moja ya nje.
 
Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake siwezi na siwezi kuendelea tena.
Je Una uzito kiasi gani, urefu kiasi gani umri gani? Maisha yako ya kawaida yakoje? =Jibu hapo twende sawa. Matatizo mengi ya viungo vya mwili mara nyingi yanasababishwa na hormonal imbalance. Haya a dawa, ni kubadili lifestyle tu.

Jiulize, mbona wazee wa zamani walikuwa hawanaga haya makorokoro?
 
Ofisini nafanya! Chakula nakula kawaida cha home nakunywa chai asubuhi sana home nikifika ofisini nakunywa saa nne mara nyingi lunch uwa nakula miwa nikirudi home saa kumi na nusu nakuta msosi pia night nagusia kidogo nalala.
Kwa kuanzia huo ulaji ni shida. Milo Kitano kwa siku haifai. Angalau mitatu. Kila unapokula insulin inapanda na inapopanda inaenda kuharibu hormone zingine hasa ya kiume inaitwa Testosterone.

Hii ndio inashughulika na kila kitu cha kiumeni kuanzia ndevu mpaka urijali.. LIFESTYLE!!!
 
Duh... kwa wazungu sishangai. Ila hawa wakwetu... sijui.

Kweli ya Mungu mengi
Kweli kabisa hapa Tz wadada wengi wapo On muda wote.

Mm huwa nikioandaga daladala kama nimekaa ni mdada utakuta mmebanana kiasi cha maungo kugusana sasa iyo mipaja yao baadhi ya moto utazani jikon ime washwa yaan mpaja wa motooooooo mpaka huwa naamua kusogeza mguu.
 
Umejaribu kwa madem wangap...jaribu kwa madem kama watatu hiv, tafuta wale kiuno feni..kingine ni ukosefu wa pesa tu unakufanya unakuwa na mawazo sana, mim nikiwa sina kitu, naweza nisigonge ata mwezi...
Haya yana ukweli lakini kaka fanya juu chini ujitengenezee furaha ya kwako wewe hapo.
 
Mkuu huna tatizo ,chakufanya ...

Piga zoezi asubuhi na jioni hakikisha mwili una toa jasho ,kama umaweza ,cheza cheza mpira .......

Hakikisha unakunywa maji mengi ...

Achana na soda ,pombe na vinywaji vingine vya gesi ...

Kula chakula safi ,ugali nyama ,samaki ,kula matunda ,....

Usipende kukaa pekee yako ,jichanfanye mtaani ,usiwaze kuangalia picha za ngono wala video .....


Usilale na mwanamke hata wiki ,machine ikiwa inaamka imesimama asubuhi iachee kama ilivo ,waza kazi nyingine ...

ikifika wakat machine inasimama yenyewe hata kama uko barabarani ,kazin ,ofcin bila kuona mwanamke au picha ya utupu jua umeanza kurudi kwa hali yako ....


Ukiwa chumban na mwanamke usipaparuke,relax tulia ,piga romance ,chomeka ,peleka motooo .....



Ukifuata hayo ,ndan ya mwez mmoja tu utakuwa umeona mabadiliko ...

Mwisho kabisa ,ACHA KUPIGA PUNYETO .....
Kamanda hii inanikutaga mashine inasimama mbele ya umati nikiona paja linapita au totozi zuri lenye kunawiri kunako daaah nasema komaa komaa pumbafu wewe mashine yaani naishiwaga amani. 😅😅😅
 
Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe asili au Hospital. Hata ukinijibu pm ntashukuru.


TAFADHALI HUU UZI SI WA MALUMBANO WALA BIASHARA. KAMA UNA CHA KUSEMA USIANDIKE KITU.


Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake na siwezi kuendelea tena.

Tatizo limeanza na mwezi sasa na hali inazidi kuwa mbaya.
Nipe body weight yako, BMI, height nikusaidie shemela!
My serious note! Fanya mazoezi (i.e. aerobic, jodging, pushups, plunking,nk). Kama wewe ni bonge manyama uzembe mpaka kadushe kanapotelea ndani kama sisimizi basi utakuwa na matatizo ya kiafya. Anza na diet,
1. Asubuhi; chungwa, yai mchemsho na chai ya tangawizi bila sukari ( tumia asali)
2. Mchana; kula matunda kiasi, maji mengi
3. Usiku before bed; pata mbogax2
Tumia App to monitor your health ( calories burn per day, BMI, nk.)

Mkeo ana umri gani? Anahitaji pia kaushauri asigangamae kitandani kama Tunguli ya Kinyamwezi. Ajiongeze kidogo! Sex inahitaji kurelux, tumia muda kumuandaa! Nyonya kale kaulimi, chezea, mchumm...
Bye ngoja nimuandalie my hubby lunch amesharudi kutoka job
 
Back
Top Bottom