The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,454
- 20,857
Watu kama hawa ndio wanaosababisha ulimwengu upoteze kuaminiana.Naona unatafuta sadaka kwa waumini
Mjomba kama umeweza taka gari ya 4M uwezi shindwa mpa 30000.Thread closed maana naona kunawatu bado wanaakili za kitoto wanawaza utapeli hakuna mtu aliyehitaji pesa yako hapa wewe unaye andika ujinga tulihitaji msaada Wa lift tu kama ni kwenye IT au gari binafsi binti afike kwao full top na sio haya mambo yasiyo na msingi if you can't help ni vyema ukabaki kimya kuliko kujidhalishisha hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha anatumia ID ya mjumbe
Hakyanani sielewi kabisaa naona maruweruwe, nahitaji hiyo laini ili na mimi niingie jf kupitia lainiNgoja niliweke sawa hii thread aliandika Angel huyo binti ila saivi ametika na mke wangu kwenda kanisani msaada anao uhitaji ninamna ya kusafiri na sivinginevyo Mimi nmemsaidia kumtoa hapo alipokuwa anaishi kama Mjumbe but anahitaji kurudi mbeya maana hata cm hana kabakiwa na line nadhani hapo mtakuwa mmeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki inboxHabari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipati picha wananchi unaowahudumia wanakuonaje!..Ukiwa tapeli unawaza kila mtu tapeli kwa hiyo kwa mawazo yako finyu unadhani tunataka kutapel usafiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
@Mambundamu ni mjumbe wake wa nyumba 10
Huenda kweli hapo ulipo kuna binti mwenye tatizo lakini uandishi wako baada ya kutatua unaongezea tatizo ukiangalia hapa mjini pana mengi watu wanapigwa kila siku.
Cha kwanza wakati wa kuandika kwanini uliamua kuvaa uhusika kama wewe ndio binti? Ule mwandiko ni wako.
Mbeya ni kubwa kwa eneo usiifananishe kama dar hivyo ulitakiwa kufafanua, mtu anaweza kuwa anatokea ileje huko akapewa lift ya it ikamuacha uyole ni majanga nengine.
Title ya thread yako ingesimeka Anahitaji msaada wa kurudi mbeya, watu wangekutoa wewe, sasa Mara Angel kaandika yeye mwenyewe mara kaenda kanisani duuh
Wenga namba yake tukimsalimia ugonile akijibu tutajua tu kweli 'embombo jelipo'
Samahani, hivi wewe ni mjumbe wa chama gani? Swali hili halihusiani na Angel hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mwandiko sio wa Angel, kaeni chonjo wakwareHabari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app