Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

Sasa I'd ni ya mjumbe pia?
Uliijuaje jf?
It mpaka Mbeya ni 35 au hata 30 unakwenda, mjumbe hana hiyo 30? .
Acheni masihara, mambo ya utapeli na umalaya tushayachoka mujue.
Hata kwa 20 anaenda au akienda ubungo kwa polisi kule ndani akilia shida wanampandisha basi bure asubuhi,,
Na makonda walivyo na uchu hatakosa kula njiani
 
Thread closed maana naona kunawatu bado wanaakili za kitoto wanawaza utapeli hakuna mtu aliyehitaji pesa yako hapa wewe unaye andika ujinga tulihitaji msaada Wa lift tu kama ni kwenye IT au gari binafsi binti afike kwao full top na sio haya mambo yasiyo na msingi if you can't help ni vyema ukabaki kimya kuliko kujidhalishisha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kingine ambacho huwa tunafanya
Huwa tunapita mtaani na mjumbe mnawaomba wananchi
Wewe mjumbe unawajua wananchi wale wanaoweza kutoa walau 5000
Ukipita kwa watu 10-15 binti anasafiri

Au mpeleke pale ubungo ningekuelekeza kwa mtu ila shida naogopa msije mkaleta maseke hatanielewa,,,
Nendeni tu kituo cha ndani binti awape ukweli polisi saa hizi magari hayajai sana atapata lift
 
Habari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba namba ya mjumbe

Jr[emoji769]
 
Hii Simu ni yangu Mimi hapa Mjumbe binti ameondoka na wife kwenda church mda si mrefu umeshindwa kuelewa topic Mkuu yeye a naomba asaidiwe lift au kama kunamtu anaenda huko Mimi nmempa msaada Wa kumuondoa hapo alipokuwa anakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niliweke sawa hii thread aliandika Angel huyo binti ila saivi ametika na mke wangu kwenda kanisani msaada anao uhitaji ninamna ya kusafiri na sivinginevyo Mimi nmemsaidia kumtoa hapo alipokuwa anaishi kama Mjumbe but anahitaji kurudi mbeya maana hata cm hana kabakiwa na line nadhani hapo mtakuwa mmeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usingeandika kuwa unamuombea msaada bali umempa aandike kama vile yeye ndie owner wa hii ID? Ina maana mjumbe umeshindwa kutumia akili ndogo tu ya kumsemea binti mpaka ukampa simu yako aingie JF mwenyewe aandike??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom