So msipende kukaliliHahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha umemuumbua mataperi yako had jamiii forum? Khaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka atakuwa anatumia ID ya mjumbe au mjumbe atakuwa ameandika kwa niaba yake.
Mjumbe wa mtaa gani hapa Dar? Tutafute namna ya kufika hapoNgoja niliweke sawa hii thread aliandika Angel huyo binti ila saivi ametika na mke wangu kwenda kanisani msaada anao uhitaji ninamna ya kusafiri na sivinginevyo Mimi nmemsaidia kumtoa hapo alipokuwa anaishi kama Mjumbe but anahitaji kurudi mbeya maana hata cm hana kabakiwa na line nadhani hapo mtakuwa mmeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niliweke sawa hii thread aliandika Angel huyo binti ila saivi ametika na mke wangu kwenda kanisani msaada anao uhitaji ninamna ya kusafiri na sivinginevyo Mimi nmemsaidia kumtoa hapo alipokuwa anaishi kama Mjumbe but anahitaji kurudi mbeya maana hata cm hana kabakiwa na line nadhani hapo mtakuwa mmeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaidie binti
Habari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tapeli wewe. Kwa hili hujajipanga.
Mwambie asiondoke abaki tuyajenge kama chura lakiniUkiwa tapeli unawaza kila mtu tapeli kwa hiyo kwa mawazo yako finyu unadhani tunataka kutapel usafiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa tapeli unawaza kila mtu tapeli kwa hiyo kwa mawazo yako finyu unadhani tunataka kutapel usafiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mcheki jamaa humu anaitwa aisee. Anaswag kama zako Ila ye alijifanya ametoka Kigoma wewe unaenda Mbeya. Mnaweza kuyajenga mkawanasa wengi.Habari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app