Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

Habari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn usiuze simu uliyo andikia thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niliweke sawa hii thread aliandika Angel huyo binti ila saivi ametika na mke wangu kwenda kanisani msaada anao uhitaji ninamna ya kusafiri na sivinginevyo Mimi nmemsaidia kumtoa hapo alipokuwa anaishi kama Mjumbe but anahitaji kurudi mbeya maana hata cm hana kabakiwa na line nadhani hapo mtakuwa mmeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba akirudi kanisani tuwasiliane

Jr[emoji769]
 
Habari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada Namba ya Waziri Wa Mambo ya Ndani - JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Juzi tu ulikuja ukasema unatafuta IST au spacio no D, hapo kabla ulikuja na mada ya mambo ya mademu ukijitanabaisha kuwa we ni kidume haswa.

Ondoa huu upuuzi hapo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa kuwa wewe ni mjumbe muombee binti msaada kwa wananchi unaowaongoza bila shaka atapata msaada haraka
 
Sasa mkuu we fanya hivi, mlipie hiyo nauli huyo binti, afike mbeya, ila ticket yake uipige picha halafu uiweke hapa kama uthibitisho.
Halafu wadau wanaweza kukulipa hela yako, au wasipofanya hivyo, mimi soon natinga mbeya, nipate mawasiliano yake au wazazi wake, nikithibitisha ni kweli na kafika, nitalipia gharama ulizotumia kumsafirisha.
Ngoja niliweke sawa hii thread aliandika Angel huyo binti ila saivi ametika na mke wangu kwenda kanisani msaada anao uhitaji ninamna ya kusafiri na sivinginevyo Mimi nmemsaidia kumtoa hapo alipokuwa anaishi kama Mjumbe but anahitaji kurudi mbeya maana hata cm hana kabakiwa na line nadhani hapo mtakuwa mmeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread imwnikunbusha kitu.

Mwaka juzi nilikuwa dar. Sikuwa na kitu mfukoni hivyo nikahitaji mtu wa kunisaidia. (Nilihitaji msaada kweli) ila plan yangu ilikwama baada ya kutokuwa muaminifu. Nilimuomba dada mmoja anisaidie 10000 tu ipitishe siku then nimrudishie (nilitegemea kupata pesa ndefu kuzidi 10000). Nikamtumia sms ya kuomba pesa. Akaniwekea mtego "umesema unahita laki moja?"
Nikaona hewala! Kama anataka kunipa laki huyu ana pesa kumbe. Nikamwambia "duh!! Laki moja? Siwezi kulipa labda nimekoseaa kuandika, nahitaji 40k"

Jibu lilipotoka sikuwa na hamu. Nikajilaumu sana kwa kutoridhika na kile nilichohitaji. Kwahiyo na wewe unaweza kuwa na nia kweli (kwamba angel ana shida hakika) ila njia uliyotumia ndio inatia mashaka. Humu tunatumia id fake, sidhani kama unaweza kumpa mtu id yako atumie ilhali unajua kabisa kuna watu wa vitengo na hukusanya data kwa njia mbalimbali. Kama ungesema umeandika kwa niaba, ningekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom