Habari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Story yako ya mwanzo na hii ya mwisho haviendani.Hii Simu ni yangu Mimi hapa Mjumbe binti ameondoka na wife kwenda church mda si mrefu umeshindwa kuelewa topic Mkuu yeye a naomba asaidiwe lift au kama kunamtu anaenda huko Mimi nmempa msaada Wa kumuondoa hapo alipokuwa anakaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambundamu kwenye post yako ya kwanza hukusema wewe ni mjumbe na unamtafutia binti msaada.
Ulijidai wewe ni binti..baada ya kuumbuliwa ndio unabadili story.
Acha hizi mambo..