Msaada: Kutoka kwa wanasaikolojia wa mapenzi

Si lazima upewe kwa kutafuta anaweza akawa huyo ndo umepangiwa ili upate kupitia kwake tizama nia yake na hitajio lako huwenda upo sehem sahihi kwa taaluma yako hutashindwa kumpa test ndogo ndogo za kupima uelewa wake juu ya maisha ili asije akawa anafikiri na kwako atakuta kama vya kwao
 
Hey my bro amka wacha kuogopa mapenzi hayana macho background tupa kule inaezekana huyo ndo atakuwa daraja ntafurahi ukija leta jibu kuwa umeweza na umekuwa baba
 
Ondoa mambo ya zamani kichwani mwako.... weka mawazo ya wakati wa sasa na nini ufanye ufanikiwe au utatue... siku zote past hai-define future....
 
kwani ufukara wa familia yako na ndoa yenu unahisi vitarelate
 
Hey my bro amka wacha kuogopa mapenzi hayana macho background tupa kule inaezekana huyo ndo atakuwa daraja ntafurahi ukija leta jibu kuwa umeweza na umekuwa baba

Asante sana ladypeace, hakika ushauri wenu unanifanya nijihisi kama watu wengine tofauti na ilivyokuwa kabla sijaomba ushauri. Nitarejesha majibu madam.
 
Si lazima upewe kwa kutafuta anaweza akawa huyo ndo umepangiwa ili upate kupitia kwake tizama nia yake na hitajio lako huwenda upo sehem sahihi kwa taaluma yako hutashindwa kumpa test ndogo ndogo za kupima uelewa wake juu ya maisha ili asije akawa anafikiri na kwako atakuta kama vya kwao

Asante sana Satak, ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Unapenda umaskini???
mungu ndo kakupangia utoke kimtindo huo sasa unazubaa nini
 
Inawezekana ikawa kweli, ila mimi ufikiria nitamwaibisha kwa wazazi wake baada ya kujua background yangu.
 
Acha uoga utajiaibisha vp sasa,,,,kama binti.karidhia hakuna shida hayo mambo unayofkiria nj ya dhamani

Cha msingi mpendane kweri na muwe focused

Kwa mwwndo huo familia utaiweza ???ur a man lazima uwe na maamuzi ya kiuanaume sifa moja wapo ya mwanaume usiwe muoga simamua maamuz yako

Vinginevyo useme haupo tayar kuoa bado unakula ujana
 
Inawezekana ikawa kweli, ila mimi ufikiria nitamwaibisha kwa wazazi wake baada ya kujua background yangu.

Pia kitu nisichokipenda ni icho kuusemea moyo wa mtu

Kwan ulishaenda kwa wazaz wake wakakuambia umewahaibisha????

acha kujinenea mabaya
 
Back
Top Bottom