wee naye unaamini ushirikina...uchawi wa mapenzi upo kiunoni mwako na kama hautoshi upo kwenye ulimi wako.....jipange wenzako watakupanga ohohhhhh.
Nakwambia hivyo cause usije ukapata umpendaye ukadhani kuna kuloga mtu Kwa hivyo, mwanaume akimpata mwanamke anayejua udhaifu wake atamsikiliza tu bila kulogwa, Nyie endeleeni na yenu na kama unataka kuloga kaloge tu, Ila huyo ndugu yenu anaroho mbaya tu au kawachoka anasimsingizia Mke wake, wekeni heshima msimjali muone.hujafikwa ndiyo maana unasema aidha wewe ndiye√√
kati ya mke hasiyebughudiwa na ndugu Wa mume, huyu anaweza Shika namba moja, kila Mtu Upande wa Mume Hana Kidomo Na ndoa Yao Ila Hali Ilipofikia Sasa Ni Mbaya, Kwani Anadikiri Mpaka Kumtisha Mumewe Kuwa Atamuua endapo Hatafanya Kile Anachokitaka
Hakuna Mume Anayekubali Mkewe Kuchukuliwa Na Wengine Naye Akajua
Hapo Kwenye Kujigmba Kuwa Atamuua Ndugu Yetu , Pameniumiza Sana Nikaona Hili Suala Lisifike Mbali!!
panga la nini naweHuko kwenu hamna panga.
Cc Tarime one.
panga la nini nawe
kama mama yake yupo dawa imepatikana,mama achukue mkojo wake kidogo amwekee kijana wake kwenye chai ndo imetoka hivo,limbwata kwisha kazi na jamaa atarudi ktk hali ya kawaida...jaribuni mkishindwa mje mnipige
ahsante kwa Ushauri Ndugu, Tusubiri Wadau Wengine Kwa Ziada!
huyu haingii Kokote Mkuu