namlexink
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,434
- 945
alipewa kitu inauma mpaka akapiga ukunga...alijivuta sana kumuoa huyu mke ila gafla ikatokea siku katukurupusha na kuadai anenda kutoa posa
alipewa kitu inauma mpaka akapiga ukunga...alijivuta sana kumuoa huyu mke ila gafla ikatokea siku katukurupusha na kuadai anenda kutoa posa
Mke anamdharau Mumewe Na Anakuwa na mamlaka ndani Ya Nyumba, Mume Kawa kama zezeta ..........hajali Ndugu Zake !!
TumeGundua Kamuendea Kwa Mganga na Kuroga Ili Awe Na Mamlaka Juu Ya mumewe na mali Zake
msaada wakuu Kwani Mume anashindwa fanya kitu Cha Maana Zaidi Ya kuendeshwa na huyo Mke!
Ahsante Jigo
Jigo huyo mtu niwewe,..nijibu kabla sijatiririka.
kitu Cha Kwanza Mazingira Yalivyo Ktk Hii Ndoa, Yako Wazi Kuna Nguvu Kati Yake
suala Limefika Pabaya Kwani Kati Ya Ndugu Zake Wamemchoka Na Kutufinya Sikio.....Kuna Mambo Mengi Ndugu Kwani Nina Shaka Huyo Mke Yumo Humu!!
Kama mume karidhika nyie kinawauma nini?????
Mume anapewa kila mahaba ya kumlegeza nyie mnasema limbwata,
Leo nimeamini ndugu wa mume mna gubu loh!!!!!!!.
hujaacha ushirikina tu mkuu?
Hebu hizo no za mtaalam nipe nataka nimlimbwate mtu
shosti usijaribu kumtuliza mwanaume ni kitandani tu
huoni mi ni dume wewe? acha mambo hayo
Alilishwa nyama iliyopikiwa kwenye jiko maalum,
lazima ataapishwe. Vinginevyo maombi kama mnayo Imani.
Labda kama ni mlemavu wa mikono
Kama mume karidhika nyie kinawauma nini?????
Mume anapewa kila mahaba ya kumlegeza nyie mnasema limbwata,
Leo nimeamini ndugu wa mume mna gubu loh!!!!!!!.