Msaada: Kutegua Mume toka mapenzi ya kichawi (Limbwata)

ahahahahaa,,....kweli maajabu hayawezi kuisha duniani.

hili nalo ni ajabu kati ya maajabu mengi ya duniani. hivi nyie ndugu wa bwana haruc mnaona tabu sana mtu kumsikiliza mkewe na kutawaliwa na mkewe?...au mulitaka ndugu yenu atawaliwe na nyumba ndogo ndio mujuwe mkewe hajui kumtuliza ndugu yenu?....

kwa ushauri wangu...nyie muacheni yuko mikono safi ya mkewe...ingekuwa ni nyumba ndogo jamaa katelekeza mke na watoto ningewapa namba ya mtaalamu wa tiba asili na jamaa yenu angepona..ila haya ya ntu na ntuwe mie naona shida somoooo.
 
Huku kwetu Njombe waganga wapo unachopaswa kufanya ni kuiba chupi ya huyo ndugu yako na kumpelekea mganga na ikishwa fanywa mambo unamrudishia kila kitu kitakuwa sawa eti.

hiyo Nimeielewa mkuu ,ntakutafuta kwa info zaidi! Ahsante Sana Ndugu
 
Ndugu wa mume wengi wenu kero mkiona hamuwezi kumtawala mwanamke mnasingizia uganga hiyo Imani yenu tu
Ila jamaa angekuwa na nyumba ndogo usingekuja kuomba ushauri hapa
Waacheni ndoa ni ya watu wawili fanyeni yenu
 
ahahahahaa,,....kweli maajabu hayawezi kuisha duniani.

hili nalo ni ajabu kati ya maajabu mengi ya duniani. hivi nyie ndugu wa bwana haruc mnaona tabu sana mtu kumsikiliza mkewe na kutawaliwa na mkewe?...au mulitaka ndugu yenu atawaliwe na nyumba ndogo ndio mujuwe mkewe hajui kumtuliza ndugu yenu?....

kwa ushauri wangu...nyie muacheni yuko mikono safi ya mkewe...ingekuwa ni nyumba ndogo jamaa katelekeza mke na watoto ningewapa namba ya mtaalamu wa tiba asili na jamaa yenu angepona..ila haya ya ntu na ntuwe mie naona shida somoooo.

Hebu hizo no za mtaalam nipe nataka nimlimbwate mtu
 
Mtegemea cha ndugu hufa masikini, jaribuni kuhangaika na yenu na huo uchawi munaouona utapotea wenyewe but inaonekana wazi mnaomfatilia wote nyie niwazembe hamtaki kujishughulisha muringie kazi za mikono yenu naaamini hamtaona uchawi.
 
nai Kasema Hayo Usemayo, Hakuna Anayependa kumpoteza Ndugu Yake Hata Kidogo
Mke kumroga Mume hasimjue mtoto Wake Na Mtoto Hasiwe na mapenzi kwa mume na ndugu wa mume we unaona sawa?
Hujui wewe
 
mtegemea cha ndugu hufa masikini, jaribuni kuhangaika na yenu na huo uchawi munaouona utapotea wenyewe but inaonekana wazi mnaomfatilia wote nyie niwazembe hamtaki kujishughulisha muringie kazi za mikono yenu naaamini hamtaona uchawi.
usiombe yakufike hayo
 
nai Kasema Hayo Usemayo, Hakuna Anayependa kumpoteza Ndugu Yake Hata Kidogo
Mke kumroga Mume hasimjue mtoto Wake Na Mtoto Hasiwe na mapenzi kwa mume na ndugu wa mume we unaona sawa?
Hujui wewe

Aah wapi hakuna kitu kama hicho huyo mwanaume hataki yeye kutoa hizo huduma ndo maana munaona hivyo hebu achaneni naye musaidie huyo mtoto muone kama mtaona hizo dawa huyo anaroho mbaya tu na wala siyo uchawi.
 
nai kasema hayo usemayo, hakuna anayependa kumpoteza ndugu yake hata kidogo
mke kumroga mume hasimjue mtoto wake na mtoto hasiwe na mapenzi kwa mume na ndugu wa mume we unaona sawa?
Hujui wewe
nenda kigoma kibondo kijiji kinaitwa kumsenga mpakani na burundi au aende kasulu maeneo ya titye au manyovu ,
kule atapona tuu!
 
aah wapi hakuna kitu kama hicho huyo mwanaume hataki yeye kutoa hizo huduma ndo maana munaona hivyo hebu achaneni naye musaidie huyo mtoto muone kama mtaona hizo dawa huyo anaroho mbaya tu na wala siyo uchawi.
hujafikwa ndiyo maana unasema aidha wewe ndiye√√
 
ahahahahaa,,....kweli maajabu hayawezi kuisha duniani.

hili nalo ni ajabu kati ya maajabu mengi ya duniani. hivi nyie ndugu wa bwana haruc mnaona tabu sana mtu kumsikiliza mkewe na kutawaliwa na mkewe?...au mulitaka ndugu yenu atawaliwe na nyumba ndogo ndio mujuwe mkewe hajui kumtuliza ndugu yenu?....

kwa ushauri wangu...nyie muacheni yuko mikono safi ya mkewe...ingekuwa ni nyumba ndogo jamaa katelekeza mke na watoto ningewapa namba ya mtaalamu wa tiba asili na jamaa yenu angepona..ila haya ya ntu na ntuwe mie naona shida somoooo.

kati ya mke hasiyebughudiwa na ndugu Wa mume, huyu anaweza Shika namba moja, kila Mtu Upande wa Mume Hana Kidomo Na ndoa Yao Ila Hali Ilipofikia Sasa Ni Mbaya, Kwani Anadikiri Mpaka Kumtisha Mumewe Kuwa Atamuua endapo Hatafanya Kile Anachokitaka
Hakuna Mume Anayekubali Mkewe Kuchukuliwa Na Wengine Naye Akajua
Hapo Kwenye Kujigmba Kuwa Atamuua Ndugu Yetu , Pameniumiza Sana Nikaona Hili Suala Lisifike Mbali!!
 
wee naye unaamini ushirikina...uchawi wa mapenzi upo kiunoni mwako na kama hautoshi upo kwenye ulimi wako.....jipange wenzako watakupanga ohohhhhh.

Haha Who Cares? Sasa mtoa mada ashasema mke anamdharau mumewe meaning uchawi wake hauko kwenye ulimi wake so tuamini kuwa uko kiunoni eh? Hahh nimeipenda hii.

Mtoa mada..... tatizo hapo naliona ni kwa ndugu kutokuwa na access na ndugu yenu..... au kuna la ziada?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom