Zamani tulikua tunatumia Skype, bei ilikua rahisi sana, sema Microsoft kaiua.
Trick hapa ni kutafuta app ambayo wewe na hio app munawasiliana online ila hio app na namba unayoipigia wanawasiliana kawaida ili kuondoa Online Factor kwa unayempigia.
Kila app inakua na rate tofauti tofauti kutegemea na nchi
Hizi rate za Google Voice
Rate za Mytello
Mara nyingi hio app inapobase basi simu zinakua bei rahisi sana kwa nchi husika.