mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,536
- 21,761
Pesa hizi bana .. mimi m1 ilienda hivihiviDuh !
Pesa hizi bana .. mimi m1 ilienda hivihiviDuh !
Sikupinga alama za vidole nilicho sema tatizo la sasa siyo alama za vidole ni mfumo...na sheria kwa ujumla hata pesa ukimtumia mtu mwenye rain kamili, akisha zitoa hakuna msaada wowote utakao patiwa na makampuni ya simu wala serikaliLengo la kusajili laini kwa alama za vidole unalijua?
Siyo kwenye kutumiana pesa tu,hata uhalifu mwingine unaohusisha simu kwa sasa wahusika hawapatikani.