MSAADA KUHUSU WINDOW ACTIVATOR

MSAADA KUHUSU WINDOW ACTIVATOR

inasumbua nini?
Desktop muda fulani inaanza kujizimazima na Kama kuonyesha chenga chenga. . .hili tatzo lilikuwa mwanzo kipindi nimeweka window 8 baadae nilivyobadilisha kwenda window 8.1 tatzo sikuliona tena sasa hapa juzi naona limejirudia tangu miezi 8 iliyopita nilipoweka hii window mpya
 
driver za graphics umeeka?
 
Hapo sio mtaalam MKUU, kuhusu drivers sina uelewa Sana zaidi ya kufanya updating au Kuzi download.....
click search tafuta device manager halafu kwenye display adapter angalia kama gpu inaonekana, pia ukiwa na internet jaribu kuright click hio gpu na kuangalia kama kuna updates.
 
Back
Top Bottom