Msaada kuhusu training ya TRA inayoanza kesho pale ITA.

Msaada kuhusu training ya TRA inayoanza kesho pale ITA.

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Habari za leo wadau. Kwa wale wanaohusika na training ya tra inayoanza kesho pale ita, naomba kujuzwa muda wa kufika/kuripoti pale chuoni ni saa ngapi make kwenye barua hawajawa spesifiki.
 
Nenda tu saa moja na nusu just incase. Ni bora uwahi kuliko uchelewe. Hongera kwa kuchaguliwa
 
Hivi hawa TRA huwa wanaangalia vigezo gani? mie nina GPA ya 4.5 yani first class diploma ya procurement bt nimekosa.Hongera kwa mliopata walau mnaona mwanga wa mafanikio kwa mbali cha msingi kuweni na nizamu mafunzoni.
 
kama kupata kazi ingekua n hiyo inayoitwa gpa wengi tungekosa, kuna vigezo vingi ndg kwaiyo usikate tamaa zamu yako bado
 
Ndo vijana wetu hao, wavivu kufikiri wala kuimagine. Hapa hakawii kuuliza nivae nguo gani?
Angeweza kwenda saa tano kwa kusema sikujua mnaanza saa ngapi!
Hilo jibu ulilotoa ni so obviously kwa mtu mwenye kufikiri hata asingekuwa na haja ya kuuliza.
 
atarrudi kuuliza, je aende na kalamu? Au zinatolewa hukohuko?

Tumieni akili acha kutumia vikanyagio! Jibu ulichoulizwa basi, usianze kuleta mambo mengine hapa. Hujui kaa kimya. Ndo maana nilisema wanaohusika ndo wanijbu tu!
 
Tumieni akili acha kutumia vikanyagio! Jibu ulichoulizwa basi, usianze kuleta mambo mengine hapa. Hujui kaa kimya. Ndo maana nilisema wanaohusika ndo wanijbu tu!

basi usingeleta upuuzi wako hapa. Ungemuuliza alokuandikia barua ya kujiunga chuo! #dandahead!
 
Tumieni akili acha kutumia vikanyagio! Jibu ulichoulizwa basi, usianze kuleta mambo mengine hapa. Hujui kaa kimya. Ndo maana nilisema wanaohusika ndo wanijbu tu!
Umeshaanza kuonyesha utovu wa nizamu kabla ya kuanza mafunzo.Si bora ungekaa kimyaa tu mkuu, umeshapata jibu ulilohitaji ya nini kuandika haya tena.
 
Hivi hawa TRA huwa wanaangalia vigezo gani? mie nina GPA ya 4.5 yani first class diploma ya procurement bt nimekosa.Hongera kwa mliopata walau mnaona mwanga wa mafanikio kwa mbali cha msingi kuweni na nizamu mafunzoni.

maisha sio lazima kuajiriwa TRA tu..endelea kutafuta kazi sehemu nyingne!over
 
Kabla hujachangia make sure una detail za kutosha,preventive assistance walikuwa wanataka watu wa diploma tu.
 
kama ndo hivi basi TRA wameajiri mapoyoyo..

Acha kashfa zisizo na maana. Unapo under-rate wanzio walioajiriwa unaleta picha mbaya na hisia tofauti juu yako. Yawezekana una chuki binafsi baada ya kukosa, au una wivu kwa wenzako waliopata. Watu kama ninyi ndiyo wale mnaopenda kufanikiwa peke yenu ktk jamii au ukoo mzima. Akitokea mtu akaonesha mafanikio basi mnampiga vijembe na fitina. Acha tabia hiyo!
Waache vijana walioajiriwa wafanye kazi kwa uhuru. Ukiwakashfu leo mtashindwa kusaidiana na kuishi pamoja. KUPATA AU KUKOSA SIO MWISHO WA MAISHA, LIFE GOES ON!
 
Back
Top Bottom