Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
jamani naomba msaada nataka kupata m2 ambaye atanifundsha jinc ya kuset madish ili nami niondoe adha
jamani naomba msaada nataka kupata m2 ambaye atanifundsha jinc ya kuset madish ili nami niondoe adha
mimi natafuta watu wa kuwafundisha elimu hii ila sijawapata bado.kama utakuwa na kichwa chepesi nitakufundisha na utakuwa mtaalam mkuu
Hata mimi natamano kujua na kupata hiyo shule. Ila is it legal???
We vp tena satelite technology ni illegal au haujaelewa kinachoongelewa hapa
Sema bei nikutumie wanafunzi kama wawili hivi
Na sema upo dsm au mkoani?
kaka nipo mbali na dar,(tarime mara) elimu nitaitolea humu humu kama mnavyotoa wewe ,chied mkwawa na wengineo.unapokuwa na tatizo kuhusu satelite dish niulize tu utapata majibu
Basi mwenye hapa nataka pata full knownledge jinsi ya kuegesha haya madishi emu nipe lecture mkuu
Nataka sana sana hizi local channels na DSTV channels satelites
Karibu uwanja ni wako
kaka nipo mbali na dar,(tarime mara) elimu nitaitolea humu humu kama mnavyotoa wewe ,chief mkwawa na wengineo.unapokuwa na tatizo kuhusu satelite dish niulize tu utapata majibu
nashukuru kwa ushauri nitaanzisha threat mpya ili tuweze kushare maarifa haya
Basi mwenye hapa nataka pata full knownledge jinsi ya kuegesha haya madishi emu nipe lecture mkuu
Nataka sana sana hizi local channels na DSTV channels satelites
Karibu uwanja ni wako
Nadhani angeanzisha thread mpya na kutupia mavitu yake.
ikianzishwa hiyo post mpya tujuulishane tunaisubiria kwa hamu elimu hii kutoka kwenu wakuu
nashukuru kwa ushauri nitaanzisha threat mpya ili tuweze kushare maarifa haya