Msaada kuhusu pm

Lateni

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
676
334
Habari,

Ninataka kutuma pm lakini kila nikituma inakuja msg hii, please complete both the subject and message fields.

Naomba mnielekeze ninakua nimekosea wapi?

Asanteni.
 
Aise..sasa hiyo PM unaituma ikiwa empty mkuu? Hapo maana yake ni kuwa hujaweka hyo PM inahusu nn(a.k.a kichwa cha PM) na hakuna content kwenye kisanduku cha ujumbe.
 
Aise..sasa hiyo PM unaituma ikiwa empty mkuu? Hapo maana yake ni kuwa hujaweka hyo PM inahusu nn(a.k.a kichwa cha PM) na hakuna content kwenye kisanduku cha ujumbe.

Hapana, kichwa cha pm nakiandika, na content pia naandika, sasa kila niki submit inakuja hio message, nimejaribu mara nyingi sanaaaaaa ila sijafanikiwa. Daaah kaazi kweli kweli.
 
Hebu nambie unatumia nini? Mob. Au laptop au ....

Ninatumia laptop, na kuna wakati mwingine hua nachangia mada fulani, message ninayoandika unakuta sio fupi, ila niki submit, inakuja error message kua your message is too short please lengthen your message at least 6 characters,

Hua sielewi tatizo nini.
 
Mi nilidhani unatumia Mob. coz hata mimi niliwahi pata problm same you , kumbe nilikua natumia through desktop wkt mi nina Mob.
Ungekua unause mob ndy ningekupa solution.
Lakini kivyovyote cheza na seting .
 
Andika hapa ulochokua unataka kukituma nikusaidie ku2ma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom