Msaada kuhusu mtaala mpya Kwa level ya Advance

Extrovert24

Senior Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
148
Reaction score
218
Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025.

Lakini pia kama Kuna mwenye pdf anisaidie kupata nitashukuru sana.
Naomba kuwasilisha wakuu
 
"level ya advance" ndiyo kitu gani? Hizi shule shida sana...
 
Back
Top Bottom