Msaada kuhusu movie ya TENET

Msaada kuhusu movie ya TENET

Dduh. Kazi yote ya nini hii kuangalia movie isoeleweka. Kheri hata niangalie Tom and Jerry

Hahahah hii kitu ilikuwa sio poa nliangalia na jamaa yangu, yeye ni of the smartest lakin ilibid tutulie wote turudie huku tunachambua tulidiscuss kama ka project flan,hatukuelewa vyote though
 
Hivi Fohadi mwanangu nakuambia naanza kutazama Tenet na hata hujanitonya muujiza nitakaokutana nao, nimetazama mpaka nimepata kizunguzungu maana sielewi, ikabidi nije huku kwenye kisima cha maarifa, nakuta tupo wengi..!!😂
😁😁😁😁😁 Doooh pole....nilijuw we jiniaz utajiongeza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom