Msaada kuhusu movie ya TENET

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
386
1,000
mi napenda zile movie ikiwa inaanza tu ushaelewa mwishon itakuaje,mfano ni zile movie unakuta mkuu wa magaidi katekwa kwa hyo vijana wake wanapanga mbinu wakamtoroshe ,picha unakuw ushaelewa bifu lipo kwa majangili na serikal au majangiri na sterling .walee wazee wa kubet wanakuw washajua nan anakufa nan anabak.

kuna movie moja niliiangalia yaan imeanza tuu sterling anapigwa risas anakufa .wazungu bana
 

He Is Denis

Senior Member
May 19, 2020
144
250
mi napenda zile movie ikiwa inaanza tu ushaelewa mwishon itakuaje,mfano ni zile movie unakuta mkuu wa magaidi katekwa kwa hyo vijana wake wanapanga mbinu wakamtoroshe ,picha unakuw ushaelewa bifu lipo kwa majangili na serikal au majangiri na sterling .walee wazee wa kubet wanakuw washajua nan anakufa nan anabak.

kuna movie moja niliiangalia yaan imeanza tuu sterling anapigwa risas anakufa .wazungu bana

Alafu sterling akishakufa wanakupa flash back
 

jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
2,800
2,000
WAKUU MPO POA
Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET.
Kusema la ukweli hii movie sijaielewa.
Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.
bora wew mim nnayo kwenye hard disk nmeiangalia zaid ya mara 10 ila naishiaga tu kwenye saa 1:30 naitoa maana naona chenga tu kila nimifos kuielewa natoka patupu
 

jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
2,800
2,000
TENET
Spoiler Alert
kama haujaiangalia ukaichek kwanza.

Ntajaribu Kuielezea kwa kadri ntakavyoweza

Cha kujua kuwa hii Movie ni War kati ya Future na present kuwa future wamemind kwa sababu watu wa past( ambao ndio sisi yetu present) wamefanya maamuzi mabaya wakasababisha mazara kwa future kama climate change na mengineyo ambayo yakapelekea vita kwahyo future ikabuni Technology ya kurudi past inaitwa Inversion unaweza uka invert watu na objects kutoka future kuja past sema sasa huku past inverted object au person anakuwa anaenda kinyume nyume si kwa sababu kawa inverted, ila yeye aliekuwa inverted anaona kuwa anaenda kawaida sasa wewe ambao hauko inverted ndio unamuona kuwa anarudi nyuma nyuma. Sijui nime make sense

PLOT,
Agent Wa CIA anaitwa Protagonist ndio Main character na Ndio maana ya protagonist crazy right , kwahyo kwenye hii Mission Protagonist anakamatwa na bad guys anateswa kuepuka kutoa siri anakunywa kile kidonge akijua ni sumu ili afe asitoe siri shockingly kumbe sio sumu ilikuwa ni test ya kuona kama yuko Loyal(muaminifu) kuwa recruited na Organization inayoitwa Tenet(jina la movie) hio taasisi imekuwa created na yye mwenyewe in future

Protagonist ataenda kukutana na watu maana hii movie watu wanakutana sema story short ataenda kukutana na huyu Mwanasayansi mwanamama ambae atamuonyesha risasi ambazo ziko inverted( ziko zinaenda kinyume na mda zimetengenezwa kutoka future iko hivi mfano kuokota msumari inabidi uimagine kama unaangusha msumari in reality unauokota sijui kama namake sense? you get the idea) so ikabidi watafute risasi hizo zimetoka wapi ndio wakaenda kwa yule Mama wa kihindi Priya wakati huo Kaongezeka Neil (Robert Pattinson jamaa wa Twilight ile Vampire Movie) so wakagundua kua Priya alimuuzia Silaha jamaa Sator Russian guy yule.

So hapo Protagonist akaenda London akakutana na mke wa sator akawa anamwambia drama zake kuhusu mme wake gaidi anavyo mblack mail kuhusu fake drawing aliyoiuza yule mwana mama anauza ma drawings kama ulivyoona blackmailing kwa kiswahili sina neno lake.

Baada ya hapo wakapanga kwenda kuiba ile drawing airport hapo ni protagonist na Neil wakavamiwa na watu wawili wenye mask ambao wako inverted wamevaa mask ukiwa inverted unavaa mask na wale watu ni futureselves ya wale jamaa walikua wanazile mask pia wasionekane sura ili wakirudi past wasionane yani watu wawili kwenye timeline moja italeta annihilation(yeap sina maelezo mengi physics yenyewe nnayo ya advance level elimu ya Tz)

Kat alimuintroduce Protagonist kwa sator mara akamuokoa maisha yake bla bla wakawa patner nn ikabidi waende kuchukua case yenye ile Plutonium kukatokea na ile car chase pale kwenye ile scene ya heist ambayo kuna inverted cars nn ilikuwa mind blowing. Protagonist na Neil wakaiba ile Case Mara wakaja wakavamiwa na Mchizi Sator ambae yuko inverted huku kamchukua Kat(mke wake) mateka,

..... Mambo mengi yakatokea the point mwishon ni kwamba huyu sator alikuwa anaumwa cancer kwahyo akakusanya vipande tisa vya algorithm ( device ambayo ilikuwa inaweza kusababisha global destruction), so kumzuia ikabidi Troops zisafiri past pale kuna Neil na Protagonist kwenda kuilinda ile Algorithm na kuaminisha kuwa sator kafanikisha Mission yake kumbe sio ambao atauliwa na inverted Kat ambae baada ya kumuua mme wake ataruka kwenye boti kama unakunbuka mwanzon Kat alimuona mwanamke anaruka kwenye ile yatch. so vipande vya algorithm watavisambaratisha viwe tofauti maana visiwe pamoja, Lastly jua kuwa Tenet ilianzishwa na Protagonist Na Neil inasemekana kuwa ni mtoto wa yule MaMa -Kat kumbuka ana kadogo kale alikokuwa anakapeleka shule considering Neil alipokutana na Protagonist alikuwa anajua favourite drink yake na kuwa protagonist huwa hanywi akiwa anafanya kazi inaonekana kuwa wanajuana in the future.

Nimejaribu kuandika ndefu as i can it turned out muda wa kuandika sana haupo, sema sorry kama bado haieleweki, whatsoever...sio lazima uelewe kila kitu na kama umepata kamwanga inatosha, poa _Gudluck
yani nmeiona lakini sijaielewa
na wew umenihadithia ndo kabisaa nmetoka kapa
 

FPKWSSM

Member
Apr 24, 2021
13
45
Kaingalie mkuu utaona risasi zinarudi nyuma huku watu wanaenda mbele wengine wanarudi kinyume mara waongee kinyume yaan ni full kuchanganyana
Sikuwa na maana kwamba umenichekesha ulivyoielezea Tenet bali nilicheka uliposema kuwa kwa sasa unaangalia Mortal Kombat!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom