Msaada kuhusu masomo ya computer science

Smartbrain

Senior Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
184
Reaction score
35
Habar zenu wakuu? Mm nasoma computer science mwaka wa kwanza napenda saana kusoma vitu hasa vinavyo husu computer science and related issues concern cimputer, naomba kama kuna mtu ana vitabu vya haina hiyo anitumie au kama unajua website ninayoweza kupata hvyo vitabu nitumie link, natanguliza shukran za dhat
 
Uko chuo gani
 
Back
Top Bottom