empires maker
New Member
- Oct 18, 2026
- 1
- 0
Habarini wanajamvi, poleni na majukumu na hongereni kwa siku njema.
Jamani leo ningependa kushare jambo ili niweze kupata mwanga juu ya mdogo wangu anayeenda kusoma computer science degree IAA Arusha.
Ningependa kujua vifuatavyo;
Jamani leo ningependa kushare jambo ili niweze kupata mwanga juu ya mdogo wangu anayeenda kusoma computer science degree IAA Arusha.
Ningependa kujua vifuatavyo;
- Ajikite na kitu gani/kozi ili ije imletee manufaa baadae?
- Je? Kuna kozi anayoweza kuanza nayo ambayo inaweza ikamfanya apate kazi mtaani wakati akiwa bado masomoni
- Nimwandalie vitu gani ili aje awe nguli?
- Changamoto za kusomea kozi hii?
- Niandae nini ili akimaliza masomo yake asisumbuke kutafuta ajira?
- Msaada tafadhari natanguliza shukurani