Baadhi ya bodi hazina limitation katika taaluma yako, wapo engineers wamepiga CPA na ni wahasibu wazuri tu. Cha muhimu ni kuingia katika website ya bodi husika na kuangalia vigezo wanavyotaka kwa kuomba candidacy na/au examination.PSPTB ni bodi ya maafisa ugavi kama kasoma accounting and finance huyo atakua ni yupo upande wa bodi ya uhasibu inaitwa NBAA
Hope weekend imeenda safi wakuu.
MSAADA WAKUU NINA DOGO LANGU AMESOMA MASOMO YA ACCOUNTING AND FINANCE NGAZI YA DIPLOMA ANAITAJI KUJIUNGA NA BOARDS HII.NAULIZA KUHUSU GHARAMA NA ANA ANZIA LEVEL GANI?ITAMCHUKUA MUDA GANI KUMALIZA MASOMO?ASANTE
Ahsanteh kwa taarifaBaadhi ya bodi hazina limitation katika taaluma yako, wapo engineers wamepiga CPA na ni wahasibu wazuri tu. Cha muhimu ni kuingia katika website ya bodi husika na kuangalia vigezo wanavyotaka kwa kuomba candidacy na/au examination.
Shukulan mkuu.Ataanzia stage 1 , ziko stage tano na mwisho research , paper ni Mara mbili Kwa mwaka i.e. Stage one mwezi wa tano akifaulu ataenda stage 11 mwezi November . Akifuata syllabus Yao vizuri atafaulu Ila ajiandae essay za kutosha na maswali ya mitego mitego , general understanding.. All in all wana mitihani ya kawaida kama mtu yuko serious.
Aende bodi Yao kama yuko daslam (pale shaurimoyo darajani) Kwa maelezo zaidi , abebe vyeti vyote kama ikiwezekana .
Kila stage Ina mitihani mingap?Vipi Gharama kwa Masomo?Ataanzia stage 1 , ziko stage tano na mwisho research , paper ni Mara mbili Kwa mwaka i.e. Stage one mwezi wa tano akifaulu ataenda stage 11 mwezi November . Akifuata syllabus Yao vizuri atafaulu Ila ajiandae essay za kutosha na maswali ya mitego mitego , general understanding.. All in all wana mitihani ya kawaida kama mtu yuko serious.
Aende bodi Yao kama yuko daslam (pale shaurimoyo darajani) Kwa maelezo zaidi , abebe vyeti vyote kama ikiwezekana .
Kila stage Ina mitihani mingap?Vipi Gharama kwa Masomo?
mkuu kuwa serious kidogo hiyo ulioitaja ni kwa ajili ya wale wazee wa procurement, au siku mpaka hao wa accounting wanasoma? nijuzeni kidogo
PSPTB ukiwa na diploma au degree ya accounting unaruhusiwa kujiunga nao?Sijaelewa swali lako mkuu , ulitaka kujua nini ?
PSPTB ukiwa na diploma au degree ya accounting unaruhusiwa kujiunga nao?
asanteh kwahilo mkuuMkuu ukiwa na form four tu unasoma , issue ni stage ya kuanzia .. qualification yoyote unasoma, hata mtu mwenye professional ya PSPTB anasoma professional ya accounts akitaka .
Je unaruhusiwa kujiunga na bodi kabla ya matokeo??
Ataanzia stage 1 , ziko stage tano na mwisho research , paper ni Mara mbili Kwa mwaka i.e. Stage one mwezi wa tano akifaulu ataenda stage 11 mwezi November . Akifuata syllabus Yao vizuri atafaulu Ila ajiandae essay za kutosha na maswali ya mitego mitego , general understanding.. All in all wana mitihani ya kawaida kama mtu yuko serious.
Aende bodi Yao kama yuko daslam (pale shaurimoyo darajani) Kwa maelezo zaidi , abebe vyeti vyote kama ikiwezekana .