Msaada kuhusu gharama za kujiunga na bodi ya PSPTB

Meek Mill

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
749
837
Hope weekend imeenda safi wakuu.

MSAADA WAKUU NINA DOGO LANGU AMESOMA MASOMO YA ACCOUNTING AND FINANCE NGAZI YA DIPLOMA ANAITAJI KUJIUNGA NA BOARDS HII.NAULIZA KUHUSU GHARAMA NA ANA ANZIA LEVEL GANI?ITAMCHUKUA MUDA GANI KUMALIZA MASOMO?ASANTE
 
PSPTB ni bodi ya maafisa ugavi kama kasoma accounting and finance huyo atakua ni yupo upande wa bodi ya uhasibu inaitwa NBAA
 
Baadhi ya bodi hazina limitation katika taaluma yako, wapo engineers wamepiga CPA na ni wahasibu wazuri tu. Cha muhimu ni kuingia katika website ya bodi husika na kuangalia vigezo wanavyotaka kwa kuomba candidacy na/au examination.
 
Hope weekend imeenda safi wakuu.

MSAADA WAKUU NINA DOGO LANGU AMESOMA MASOMO YA ACCOUNTING AND FINANCE NGAZI YA DIPLOMA ANAITAJI KUJIUNGA NA BOARDS HII.NAULIZA KUHUSU GHARAMA NA ANA ANZIA LEVEL GANI?ITAMCHUKUA MUDA GANI KUMALIZA MASOMO?ASANTE

Ataanzia stage 1 , ziko stage tano na mwisho research , paper ni Mara mbili Kwa mwaka i.e. Stage one mwezi wa tano akifaulu ataenda stage 11 mwezi November . Akifuata syllabus Yao vizuri atafaulu Ila ajiandae essay za kutosha na maswali ya mitego mitego , general understanding.. All in all wana mitihani ya kawaida kama mtu yuko serious.

Aende bodi Yao kama yuko daslam (pale shaurimoyo darajani) Kwa maelezo zaidi , abebe vyeti vyote kama ikiwezekana .
 
Baadhi ya bodi hazina limitation katika taaluma yako, wapo engineers wamepiga CPA na ni wahasibu wazuri tu. Cha muhimu ni kuingia katika website ya bodi husika na kuangalia vigezo wanavyotaka kwa kuomba candidacy na/au examination.
Ahsanteh kwa taarifa
 
Ataanzia stage 1 , ziko stage tano na mwisho research , paper ni Mara mbili Kwa mwaka i.e. Stage one mwezi wa tano akifaulu ataenda stage 11 mwezi November . Akifuata syllabus Yao vizuri atafaulu Ila ajiandae essay za kutosha na maswali ya mitego mitego , general understanding.. All in all wana mitihani ya kawaida kama mtu yuko serious.

Aende bodi Yao kama yuko daslam (pale shaurimoyo darajani) Kwa maelezo zaidi , abebe vyeti vyote kama ikiwezekana .
Shukulan mkuu.
 
Kila stage Ina mitihani mingap?Vipi Gharama kwa Masomo?
 
Average ni mitihani mitano , stage ya mwisho ndo inakuwa Minne , cost siyo kubwa sana , wastani wa laki mbili mpaka laki tatu Kwa stage .. ingia web ya PSPTB sehemu ya mitihani download candidacy reg form na exam registration form cost na kila kitu viko pale .
 
mkuu kuwa serious kidogo hiyo ulioitaja ni kwa ajili ya wale wazee wa procurement, au siku mpaka hao wa accounting wanasoma? nijuzeni kidogo
 
PSPTB ukiwa na diploma au degree ya accounting unaruhusiwa kujiunga nao?

Mkuu ukiwa na form four tu unasoma , issue ni stage ya kuanzia .. qualification yoyote unasoma, hata mtu mwenye professional ya PSPTB anasoma professional ya accounts akitaka .
 
Asome CPA ndiyo ya accounts hiyo nyingine ni kwa ajili ya wagavi procurement. Muda ni mwaka mmoja tu. Ada haizidi laki saba.
Aulizie vyuo vyote vya uhasibu Tia watamwambia muda wa kujiunga.
 
Ataanzia stage 1 , ziko stage tano na mwisho research , paper ni Mara mbili Kwa mwaka i.e. Stage one mwezi wa tano akifaulu ataenda stage 11 mwezi November . Akifuata syllabus Yao vizuri atafaulu Ila ajiandae essay za kutosha na maswali ya mitego mitego , general understanding.. All in all wana mitihani ya kawaida kama mtu yuko serious.

Aende bodi Yao kama yuko daslam (pale shaurimoyo darajani) Kwa maelezo zaidi , abebe vyeti vyote kama ikiwezekana .
 
Naomba kuuliza swali ....... hyo bodi ni wale walio soma procurement and supply cndio... Asa masomo yao yanchukua mda gani hasa kwa aliyesomea diploma ? yaan ni kwa mda gani mpk ana maliza ?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom