Msaada kuhusu gharama za kujiunga na bodi ya PSPTB

Msaada kuhusu gharama za kujiunga na bodi ya PSPTB

Watu humu wanauliza maswali juu ya maswali kwann msiende kwenye hizo tovuti au office zao mkapata maelezeo yanayojitosheleza?? Wengine humu wanashauri uongo na kweli unaweza ukachukulia serious kumbe unaingizwa mkenge....have a gud day peopleesss
 
Kwa MTU mwenye diploma ataanzia professional stage1
Naomba kuuliza swali ....... hyo bodi ni wale walio soma procurement and supply cndio... Asa masomo yao yanchukua mda gani hasa kwa aliyesomea diploma ? yaan ni kwa mda gani mpk ana maliza ?
 
Kuhusu mudaa inategemeaa lakin bodi wenyewe wanashauri kusoma review classes but mitihan ni kila mwaka May na November
Naomba kuuliza swali ....... hyo bodi ni wale walio soma procurement and supply cndio... Asa masomo yao yanchukua mda gani hasa kwa aliyesomea diploma ? yaan ni kwa mda gani mpk ana maliza ?
 
Back
Top Bottom