Anza na details za mradi kwanza uko wapi? Una startup capital ya kiasi gani na je unaoperate mwenyewe au unaajiri waalimu? Na taratibu za kisheria usisahau ccm inataka kodi yako
iyo kazi itakucost sana fanya mradi mwingine huo hauna ela sana sasa hvi mtu anajua computer bila kufundishwa anza na ufugaji wa kuku kama unapenda au mitumba m3 nyingi sana ...mi nimeanza kufuga kuku 6 sasa hvi nina kuku 50 tumia akili sio lazima kuku