Kwahiyo mkuu umekuja kunidiss huku? Sasa nasema kodi yako silipi na hapa sihamiHabari zenu wananchi,
Tuna mpangaji ana mwezi wa sita hajalipa kodi na ni mwalimu anafundisha shule za Serikali, tumeazimia kumuamisha na tunataka kupata stahiki yetu tunafanyaje?
Naombeni msaada
ni mkataba wa kupangishana tu bei ya pango kwa mwezi na jinsi inavyopaswa kulipwaMpaka anadaiwa miezi yote nyinyi mlikuwa mmekufa?
Je, mna mkataba wowote kati yenu na yeye?
Kama mnao unasemaje?
Hata kama mna mkataba, naamini kabisa huo mkataba unaeleza ni namna gani mpangaji anapaswa kulipa kodi yake.
Ahsante sanaFungueni "application" kwenye Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya katika Wilaya ambayo hiyo nyumba mliyompangisha ipo.
Haya ni maombi maalumu ya kumlazimisha mdaiwa alipe deni la kodi lililosalia (arrears of rent) na kumtoa kwenye nyumba hiyo (lawful eviction)...
Hao wapangaji wa hivyo dawa yao huwa kuwaroga tu full kumchezasha kindumbwendumbwe atahama mwenyeweHabari zenu wananchi,
Tuna mpangaji ana mwezi wa sita hajalipa kodi na ni mwalimu anafundisha shule za Serikali, tumeazimia kumuamisha na tunataka kupata stahiki yetu tunafanyaje?
Naombeni msaada
bibi ni muhuni huyoKuna bibi mmoja alikuwa na tatizo kama lako....alichofanya alisubiri msimu wa mvua akaanza kufanya marekebisho ktk nyumba yake then akaondoa bati zote katika chumba cha mpangaji mkorofi kisha akazifungia ndani ...mpangaji alihama baada ya mvua mmoja tuuu....ila wewe usifanye kama huyu bibi hahaaaaaaaaaa