Msaada kama hiyo hometheatre ina muziki mzuri?

Msaada kama hiyo hometheatre ina muziki mzuri?

Mkuu hili dude lako nalijua, halina utaalamu katika sauti, ni sawa na uchukue aliang ya kawaida uunge twita kibao kule nyuma kisha uzisambaze. Zote zinalia sauti ya aina moja tu. (sawa linakita balaa).

Ukitaka kujua nasema nini nenda siku moja kwenye chumba ambacho HT imefungwa na kupangwa inavyotakiwa, utajua ulikuwa unajidanganya. Halafu Ile huwa hazisumbui majirani.kila speaker inapiga kifaa chake.
Wajina wewe ni mbishi sana

Mkorintho wa 6
 
Angalia muundo wake kwa chini ndio utaelewa nasema nachosema kwasababu nimeitumia kwa muda wa miaka 4 na haijawahi kusumbua kwa hitilafu yoyote. Ni mziki mzuri asikwambie mtu, nimenunua sample nyingi kabla ya hii lakini kwa hii ni balaa nitaendelea kutumia aina hii pekee View attachment 1066570View attachment 1066571View attachment 1066572

Mkorintho wa 6
Mkuu samahani aisee hii sio Home thieter kabisa ukiambiwa utaje home thieter kaka huu ni uchafu (samahani kwa lugha mbaya) nina experience na alliang ilo ni sabufa lenye spika nyingi ndogo inawezekana hujui nini unakitafuta katika mapigo ila unapotaja mapigo ya home thieter hili dide halina uwezo wa kupiga mapigo ya home thieter sister wangu anayo ila show yake ni tofauti na hii linapiga kama sabufa tuu ni hayo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia muundo wake kwa chini ndio utaelewa nasema nachosema kwasababu nimeitumia kwa muda wa miaka 4 na haijawahi kusumbua kwa hitilafu yoyote. Ni mziki mzuri asikwambie mtu, nimenunua sample nyingi kabla ya hii lakini kwa hii ni balaa nitaendelea kutumia aina hii pekee View attachment 1066570View attachment 1066571View attachment 1066572

Mkorintho wa 6
Hapa umeliwa mkuu,ukizungumzia mzik mzur basi huwez pigia debe ilo kalabrasha hapo

Hivi tufunge DAV dz 650 tu geto na hilo dubwana hapo unafkr humo utapata sound ya sony?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Angalia muundo wake kwa chini ndio utaelewa nasema nachosema kwasababu nimeitumia kwa muda wa miaka 4 na haijawahi kusumbua kwa hitilafu yoyote. Ni mziki mzuri asikwambie mtu, nimenunua sample nyingi kabla ya hii lakini kwa hii ni balaa nitaendelea kutumia aina hii pekee View attachment 1066570View attachment 1066571View attachment 1066572

Mkorintho wa 6
Huwezi jua muziki system kama hujawai fatilia system za music bro. Na ukitaka kujua music tafuta mtu au nenda studio za kuproduce walikofunga walau monitor speaker alafu chukua wimbo mmoja uliotengenezwa vema hasa wa nje kisha sikiliza huo wimbo pia katika subwoofer yeyote toka china.

Ukifanya hivyo hutabisha tena hapa.

Dumelang
 
Back
Top Bottom