Msaada kama hiyo hometheatre ina muziki mzuri?

Msaada kama hiyo hometheatre ina muziki mzuri?

Kama hizi ni laki 5 kwa bei niliyonunua miaka minne imepita lakini zipo ndogo zake ni lak 3 ½ hadi laki 2 na point pia zinaenda hadi laki 8 kutokana na sifa maana zipo zinazotumia Bluetooth, zinamziki mzuri yaani ukifungulia volume mpaka 45 ardhi inatikisika, sauti yake inajiweka automatic 30 volume unapoifungulia. Ina mchujo wa hatari na unaweza kuiset ikakupa mziki kama upo live band. vyovyote unavyotaka inafanya. Chini ya hometheater hiyo kuna matundu mawili ya kupumulia hayo ndio yanafanya ardhi itikisike ukifungulia sana. Yenye rangi nyekundu kama hiyo moja hapo chini bei zake huwa hazivuki laki 3 lakini hizo nyingine jipange kuanzia mia 5 kwenda mbele
1554791153987.jpg
1554791164522.jpg
1554791171004.jpg
1554791176298.jpg
1554791183686.jpg
1554791190385.jpg

Mkorintho wa 6
 
Attachments

  • 1554790557810.jpg
    1554790557810.jpg
    52.5 KB · Views: 35
Angalia muundo wake kwa chini ndio utaelewa nasema nachosema kwasababu nimeitumia kwa muda wa miaka 4 na haijawahi kusumbua kwa hitilafu yoyote. Ni mziki mzuri asikwambie mtu, nimenunua sample nyingi kabla ya hii lakini kwa hii ni balaa nitaendelea kutumia aina hii pekee
1554791762894.jpg
1554791777784.jpg
1554791788824.jpg

Mkorintho wa 6
 
Tofauti na Sony,hakuna kifaa chochote kitakacho ifikia Sony kwenye suala LA muzik has wa nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hayo ma brand vitu vingine unanunua kuonekana bishoo lakini uzuri wa paka sio rangi ujue. Nunua hiyo Ailiang nakwambia utakuja kunishukuru hapahapa au kama huamini nenda wanakouza hizo sony uzijaribu alafu baada ya hapo kazitafute hizi sample za Ailiang usikilize kabla ya kufanya maamuzi.

Mpaka nilipofikia sio wa kufundishwa,huo upuuuzi ufananishe na Sony?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hizi ni laki 5 kwa bei niliyonunua miaka minne imepita lakini zipo ndogo zake ni lak 3 ½ hadi laki 2 na point pia zinaenda hadi laki 8 kutokana na sifa maana zipo zinazotumia Bluetooth, zinamziki mzuri yaani ukifungulia volume mpaka 45 ardhi inatikisika, sauti yake inajiweka automatic 30 volume unapoifungulia. Ina mchujo wa hatari na unaweza kuiset ikakupa mziki kama upo live band. vyovyote unavyotaka inafanya. Chini ya hometheater hiyo kuna matundu mawili ya kupumulia hayo ndio yanafanya ardhi itikisike ukifungulia sana. Yenye rangi nyekundu kama hiyo moja hapo chini bei zake huwa hazivuki laki 3 lakini hizo nyingine jipange kuanzia mia 5 kwenda mbele View attachment 1066560View attachment 1066561View attachment 1066562View attachment 1066563View attachment 1066564View attachment 1066567

Mkorintho wa 6
Ahsante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia muundo wake kwa chini ndio utaelewa nasema nachosema kwasababu nimeitumia kwa muda wa miaka 4 na haijawahi kusumbua kwa hitilafu yoyote. Ni mziki mzuri asikwambie mtu, nimenunua sample nyingi kabla ya hii lakini kwa hii ni balaa nitaendelea kutumia aina hii pekee View attachment 1066570View attachment 1066571View attachment 1066572

Mkorintho wa 6
Ndo bei yake shilingi ngapi hii ikiwa mpya?? Na ww huwez kuniuzia hiyo yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hayo ma brand vitu vingine unanunua kuonekana bishoo lakini uzuri wa paka sio rangi ujue. Nunua hiyo Ailiang nakwambia utakuja kunishukuru hapahapa au kama huamini nenda wanakouza hizo sony uzijaribu alafu baada ya hapo kazitafute hizi sample za Ailiang usikilize kabla ya kufanya maamuzi.

Mkorintho wa 6
Mkuu hili dude lako nalijua, halina utaalamu katika sauti, ni sawa na uchukue aliang ya kawaida uunge twita kibao kule nyuma kisha uzisambaze. Zote zinalia sauti ya aina moja tu. (sawa linakita balaa).

Ukitaka kujua nasema nini nenda siku moja kwenye chumba ambacho HT imefungwa na kupangwa inavyotakiwa, utajua ulikuwa unajidanganya. Halafu Ile huwa hazisumbui majirani.kila speaker inapiga kifaa chake.
 
1.6 ni pesa nyingi kiasi, haka ni kadogo mno. Kana watt 330,ni afadhari ungetafuta angarau ka watt 600 used kkoo, japo hakasomi flash za mp4, ila atleast kuna kitu ungekuja kutueleza.
Hako ka watt 6oo ni bei gani kanaweza fika??
Halaf haisomi flash za mp4 kivp??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hayo ma brand vitu vingine unanunua kuonekana bishoo lakini uzuri wa paka sio rangi ujue. Nunua hiyo Ailiang nakwambia utakuja kunishukuru hapahapa au kama huamini nenda wanakouza hizo sony uzijaribu alafu baada ya hapo kazitafute hizi sample za Ailiang usikilize kabla ya kufanya maamuzi.

Mkorintho wa 6

IMG_4611.JPG

Na hii naweza kuipata wapi? Jamani hapa Dar es salaam na price yake ipoje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unajua maana ya Home Theatre mkuu!?
Hyo ni maalumu kwa ajili ya kuangalia movie ili kupata vionjo vyote hasa kuhusu sauti mkuu na sio kwa ajili ya mziki au mdundo mkubwa!
Ukitaka mdundo chukua sub woofer na zipo za aina nyingi sana kutokana na pesa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachina wamewaharibu akili kabisa!
 
Back
Top Bottom