Msaada kama hiyo hometheatre ina muziki mzuri?

Almachus

Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
56
Reaction score
12
Habari wana JF...samahani,naomba kuuliza kama hii hometheatre ina uwezo kushinda subwoofers.
Yaan ina mziki mkubwa na mzuri???
IMG-20190408-WA0015.jpeg
IMG-20190408-WA0013.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya Home Theatre mkuu!?
Hyo ni maalumu kwa ajili ya kuangalia movie ili kupata vionjo vyote hasa kuhusu sauti mkuu na sio kwa ajili ya mziki au mdundo mkubwa!
Ukitaka mdundo chukua sub woofer na zipo za aina nyingi sana kutokana na pesa yako

Lakin hii kaka si iko vzur tu kwa upande wa kupiga mzik kuliko Subwoofers??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ili upate ile radha kamili ya hiyo home thiet yako hadi pale utakapo weka cd
na cd ni zile og ukiweka haya yakubani kwa hupati radha
ila ukiweka aux au usb
ndani hua kuna procesor zakuswitch signal utaskia spika zote au baadh yake
ila kwa miziki mizito hapo tafta masabufa hayo ila hyo ni kwajir ya mzki furani wa kujiburudisha

Voxser empire
 
Eti ni Home theater gani zuri na ina sound bomba kwa ajili ya kuangalia movie na mpira kutoka kwenye smart tv ya LG?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu ili upate ile radha kamili ya hiyo home thiet yako hadi pale utakapo weka cd
na cd ni zile og ukiweka haya yakubani kwa hupati radha
ila ukiweka aux au usb
ndani hua kuna procesor zakuswitch signal utaskia spika zote au baadh yake
ila kwa miziki mizito hapo tafta masabufa hayo ila hyo ni kwajir ya mzki furani wa kujiburudisha

Voxser empire
Nashkuru mkuu.
Ila kuna subwoofer yangu ina watt 150,
Na hii hometheatre ina watt 300..sasa hapo hometheatr si itakuwa ipo vzur kuliko hiyo subwoofer upande wa mziki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna subwoofer yangu ina watt 150,
Na hii hometheatre ina watt 300..sasa hapo hometheatr si itakuwa ipo vzur kuliko hiyo subwoofer upande wa mziki?
Zingatia majibu yaliyotolewa na wadau hawa
Hyo ni maalumu kwa ajili ya kuangalia movie ili kupata vionjo vyote hasa kuhusu sauti mkuu na sio kwa ajili ya mziki au mdundo mkubwa!
Ukitaka mdundo chukua sub woofer na zipo za aina nyingi sana kutokana na pesa yako

Mkuu ili upate ile radha kamili ya hiyo home thiet yako hadi pale utakapo weka cd
na cd ni zile og
ukiweka haya yakubani kwa hupati radha
ila ukiweka aux au usb
ndani hua kuna procesor zakuswitch signal utaskia spika zote au baadh yake
ila kwa miziki mizito hapo tafta masabufa hayo ila hyo ni kwajir ya mzki furani wa kujiburudisha

Voxser empire

Jifunze zaidi kwanza kupitia hii thread: https://www.jamiiforums.com/threads/matumizi-sahihi-ya-home-theatre-nyumbani.1002260/page-2

Zingatia kuwa kila kifaa kimetengenezwa kwa malengo maalum.
 
Kwa mziki matata tafuta high fidelity system hayo masubwoofer tupa kule...
 
Back
Top Bottom