Msaada juu ya kaka yangu, nifanyeje?

Kama ni kwako afu unaruhusu huo uchafu Dada pole sana, ila timua ukiweza timua woteee una Lea yai au
 
Wala usihofu, hiyo tabia ya kuwabadili wanawake mwisho wake ni ukimwi tuu na ataacha sio mbali. Pili mwambie aondoke akapange chumba na hilo jimama, atakaaje kwa shemeji kubwa zimaaa?
 
Anaongelea hadi kujenga banda la kuku!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
 
shida kubwa ni huyo kaka yako over 35 kuwa anaishi kwako hayo mengine ni yake usimsaidie kuyawaza
 
Anatumika tu (Karma)kukamilisha malipo fulani kwa waja wa hapa duniani, akimaliza kazi yake atatulia
 
Mtaftie room mpangishie, mlipie kodi ya miezi mitatu afu achana nae.... problem wisely solved...
 
Sasa mwanzo ulitaka awe na mmoja, mwenzio amempata huyo mmama shukuru tu mungu katulizwa na kaacha kuchezea wadada wengine
 
Huyo kaka yako kweli mtu mzima ila akili ya kitoto na hana aibu.
Anawezaje fanya hayo hapo kwako yani kwa shemeji yake mtu mwenye umri mkubwa hivyo.
Mwambie akajitegemee unamlea kwani mtoto na inaelekea ana kipato chake tayari.
Kuna mwanamke alikuwa ananitaka kitambo.
Mimi nilikuwa kwenye early 20s na yeye lwenye 40s.
Kuna rafiki yangu Mkameruni naye alikuwa kwenye 40s aliniambia nisijaribu kujihusisha naye maana nikijaribu kuna jambo mija kati ya haya litatokea
1. Nitaanza kuwa napenda wamama sitopenda tena wanawake ninaoringana nao umri.
2. Nitakuwa kila ninachopata ninampelekea yeye japo mwanzo alikuwa ananiletea mimi vijizawadi na pesa ila nikikolea game litachange.
 
Haha h anatka kuweka na banda la kuku kabisa??[emoji108][emoji108]
 
Uzi ujao utakuwa ni wa kumfuma huyo mama akiwawekea sumu kwa msosi, si umesema anajituma sana jikoni ee!?, stay tuned dada angu.
 
Mwambie akapange nyumba si Amekuwa na mji wake? Unaleaje mtu na mke? We nawe unatatizo.
 
lamsingi kaa na mume wako umwambie ajisogeze kwanini anakua tegemezi ajioni kua amekua ...
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…