MUTAKANGWA
Member
- Oct 28, 2013
- 37
- 2
Habari za leo wanajamii. Mara nyingi nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya smartphones nimepata support kubwa. Sasa nimechagua kununua simu tajwa hapo juu. Naomba wale wanaoijua vizuri wanipe maelezo juu ya uwezo wake na mapungufu yake. Natanguliza shukrani
hii simu nackia tecknolojia yake ya kioo sio fresh.....haina gorilla glass so be aware about durability na scratches you may need screen protector!!!
Na Je kwa price ya tsh 195,000 (excluding 35,000 for unlocking) ni sawa? . Mimi pia nilikuwa naifikiria hii simu. Je simu mbadala wa hii kwa cost isiyozidi tsh 250,000 ni ipi?. Karibu
Mkuu nenda kanunue ni nzuri sana, mm ndio ninayotumia na sijapata tatizo lolote. Ila kama ni mtu wa music sana naona sound haijatulia.
ila zinatatzo la voice cut. unawza ongea na mtu ghafla akawa hakusikii. Kwangu hutokea na pia kuna mshikaji wangu tulinunua wote nae anakabiliwa na tatizo hilo. Binafsi nikifika dar nataka niwarudishie. Otherwise ni nzuri sana
simu mbadala wake ni tecno n7 ambayo inacost kidogo, kuna na xtouch za 5inch alikua anazitangaza tangaza paje
Heshima yako ndug chief. Nasikia watu wengi wanasema hii huawei ina matatizo ya voice cut na screen pia ina matatizo. Je n7 ni perfect replacement
Charge majanga
mkuu tafta earphne nzur alaf uje useme
Nadhani suala sio headphones, as such ni music player. Mimi ninatumia y200, nilipoinunua kidogo nitupe headphones maana mziki wake haujatulia ni makelele tu, low frequency sounds kama bass hakuna. Lakini nilipodownload graphic equalizer ee bwanaee! Miziki mzito usipime. Hata hivyo ina tatizo la volume uki equalize mziki. Volume iko chini mno labda hapa ndipo pa kutest aina nyingine ya headphones, maybe.