MUTAKANGWA
Member
- Oct 28, 2013
- 37
- 2
Habari za leo wanajamii. Mara nyingi nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya smartphones nimepata support kubwa. Sasa nimechagua kununua simu tajwa hapo juu. Naomba wale wanaoijua vizuri wanipe maelezo juu ya uwezo wake na mapungufu yake. Natanguliza shukrani


