Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 400
sio kweli.
3G ikiwa on, utaona majanga ila ikiwa off utafurahi na chaji yake.
Ofcoz ukiweka 3g(data swtch) off charge inakaa kaa kiasi chake but hairidhishi saaana.ila ukilinganisha na bei yake hii cm ni kali sana...
But mind u....usilinganishe cm hii na akina i4n na galaxy but linganisha bei yake ya cm hii kwa bei kama hii ktk cm nyingine utapata jibu kua y300 ni moto wa kuotea mbali.