John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,285
Ndoa ya kikristo huwa haivunjjiki mpaka kifo. Kwa hiyo, jibu jepesi kwa swali/hoja yako uliyouliza ni kwamba, mmoja wenu anatakiwa kujiua au kujinyonga ili kuvunja ndoa hiyo na kumwacha huru mwenzake aliyebaki hai.Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Asante ndugu kwa ushauri nita mwambiaSa mbona unasema we mdogo wako na nini!
Ila wala hakuna shida huyo sio mke wa mtu!
AEND KANISANI!
akathibitishe hilo swala ndoa inavunjwa.
AU AENDE MAHAKAMANI!
Aanzie baraza la kata!
SABABU ZA KUVUNJA NDOA NI Hiyo!
Inatosha kabisa!
Mwambie watest kabisa. wasijekuona af mambo yawe yaleyale. Mje kusumbua tena watu jf.Apan ana hofia kwahizi habari zilizopo
Asante nduguMwambie watest kabisa. wasijekuona af mambo yawe yaleyale. Mje kusumbua tena watu jf.
Natazama tu huo mguuAwwww thubutuuu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wewe ndio mchumba mpya wa huyo mwanamke una force ndoa ivunjwe jitathimini sana mke wa mtu ni sumu uko kigoma ni hatari utapigwa radi ufe ooh.Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Huu utaratibu ulisimulia bar gani?Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.
Natazama tu huo mguu
Jamaa mlivyomuuliza yeye alijitetea vp? au alimwambia mkewe shida ni nini?Asante ndugu
Apate uthibitisho wa kitabibu kuwa hajaingiliwa na mumewe.Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Aende kanisani alipofungia ndoa apeleke malalamiko, then watamuandikia barua kwenda mahakamani, 1 Wakorintho 7:3-4Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Ndoa ni tendo la ndoa kama mwamba hapigi kazi. Hiyo ndoa haipo. Miongoni mwa sababu zinazokubalika kuvunja ndoa ni kifo(automatic), uzinzi na kushindwa kutoa huduma ya tendo.Mme wa mwanzo ni mkristo pia anae taka kumuoa mkristo vile vile
Hujaona huko juu kashakubali ndiye alizuga tu kuwa ni mdogo wake!Wewe Simon kwenye ndoa ya watu unatafuta nini? Au ndio huyo mchumba mpya
Kama jamaa jogoo hawiki hiyo ndoa imesha vunjika kidini na kisheria.Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Usimdanganye.Kutokuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa ni kigezo tosha kwa padre kuivunja ndoa.Aende walipofunga ndoa na atoe hoja hiyo.Mwambie asilimu kwanza atumie kigezo cha kusilimu kumuacha.
Mungu amsaidie Mshkaji mwenye Mke,yuko katika Mtihani mkubwa katika maisha.
Sio kweliNdoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.