situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 28
- 37
Ndugu Wana jamvi naomba munisaidie, hivi iliuunganishiwe umeme na Tenesco unatakiwa kufanya nini?
Mimi ni mwenyeji Wa Mwanza, nimefanya jitihada zote ili niunganishiwe umeme imeshindikana. Ndio maana nauliza wanaounganishiwa umeme wanatumia njia gani?