MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 595
Habari wanajukwaa,
naamini kwenye jukwaa hili kuna wataalamu wa kada mbali mbali na ndio sababu ya jf kuheshimika na kuzidi kuwa na wanachama wengi tujipongeze kwa hilo. Bila kupoteza muda niende kwenye mada yangu ya msingi inayohusu jinsi ya kuunda kituo cha radio kwa kutumia vifaa vya radio vya kawaida kwani naamini inawezekana kwa yeyote anayefahamu tafadhali atujuze ni vifaa gani vinavyotumika na jinsi ya kuviunganisha viweze kufanya kazi ya kurusha matangazo. Natanguliza heshma kwenu wakuu naomba kuwasilisha..karibuni tujadiliane