Namna ya kuazisha kituo cha radio (online radio)

Kigger

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
805
710
Habari wadau wa wa jf! Naamini wazima basi mapema leo hii tunajifunza namna ya kufungua kituo cha zadio (online radio), lazima uwe na malengo nini unaenda kufanya ili uweze kufanya kitu kizuri zaidi.

Mahitaji
1) Logo
2) Jina la radio
3) Website
4) Email (gmail)

Baada ya kuwa na mahitaji hayo tunaazisha radio kupitia simu ya mkononi na kama hauna website pia usiwaze ili lakini directories nyingi awawezi kusubmit kituo cha cha radio bila we site chache tu ndizo ninaweza ambazo nazo hazina wasikilizaji wengi kama tunein,radio garden,simple radio, ambazo zina wasikilizaji wengi awawezi kukuweka kama huna website.

Kwenye kuazisha kituo cha radio (online radio) lazima tutumia server za watoa huduma mbali mbali kama utahitaji server ya bure au ya kulipia inategemea na wewe utakavo pendelea.
Nitawapa server chache ambazo ni nzuri.

ZA BURE
ZENO- hii site utaazisha bure kituo cha utapangilia list ya nyimbo na vipindi unaweza kuaweka hadi nyimbo 500

Kungia zeno andika tool.zeno.fm

Dashboard za zeno nilianza na hii na sasa natumia radiolize
ZA KULIPIA

1) RADIOLIZE - Hii ni nzuri mno ila utahitaji kulipia kiasi kuanzi dola 5 kila mwezi nawanakupa wastani wa gb 5 na kuendelea izo gb 5+ utapangilia vipindi vyako na nyimbo pamoja na matangazo,sasa ile zeno haina kupangilia vipindi unaweka kwenye flash vitajiplay bila kua na mtiririko mzuri,pia radiolize itaonyesha vizuri msikilizaji alipo kama yupo ilala,chanika na amesikiliza kwa muda gani na anatumia simu gani itaonyesha,kuingia kwenye website ya ilifungue radio radiolize.com

Hiii ni dashboard ya kutuo changu natumia radiolize

Kama utahitaji kulipia utahitaji uwe na MasterCard au utumie lipa kwa mpesa

Kuhusu faida utakayo ipata inategemea na jinsi wewe utakavo endesha na kuwekeza ,faida ipo
Screenshot_20220323_172009_com.android.chrome.jpg
Screenshot_20220226_134456_com.android.chrome.jpg
 
Habari wadau wa wa jf! Naamini wazima basi mapema leo hii tunajifunza namna ya kufungua kituo cha zadio (online radio)
Lazima uwe na malengo nini unaenda kufanya ili uweze kufanya kitu kizuri zaidi.

Mahitaji
1)logo
2) jina la radio
3) website
4)imail (gmail)

Baada ya kuwa na mahitaji hayo tunaazisha radio kupitia simu ya mkononi na kama hauna website pia usiwaze ili lakini directories nyingi awawezi kusubmit kituo cha cha radio bila we site chache tu ndizo ninaweza ambazo nazo hazina wasikilizaji wengi kama tunein,radio garden,simple radio, ambazo zina wasikilizaji wengi awawezi kukuweka kama huna website

Kwenye kuazisha kituo cha radio(online radio ) lazima tutumia server za watoa huduma mbali mbali kama utahitaji server ya bure au ya kulipia inategemea na wewe utakavo pendelea.
Nitawapa server chache ambazo ni nzuri
ZA BURE
ZENO- hii site utaazisha bure kituo cha utapangilia list ya nyimbo na vipindi unaweza kuaweka hadi nyimbo 500
Kungia zeno andika tool.zeno.fm

Dashboard za zeno nilianza na hii na sasa natumia radiolize
ZA KULIPIA

1) RADIOLIZE - Hii ni nzuri mno ila utahitaji kulipia kiasi kuanzi dola 5 kila mwezi nawanakupa wastani wa gb 5 na kuendelea izo gb 5+ utapangilia vipindi vyako na nyimbo pamoja na matangazo,sasa ile zeno haina kupangilia vipindi unaweka kwenye flash vitajiplay bila kua na mtiririko mzuri,pia radiolize itaonyesha vizuri msikilizaji alipo kama yupo ilala,chanika na amesikiliza kwa muda gani na anatumia simu gani itaonyesha,kuingia kwenye website ya ilifungue radio radiolize.com

Hiii ni dashboard ya kutuo changu natumia radiolize

Kama utahitaji kulipia utahitaji uwe na MasterCard au utumie lipa kwa mpesa

Kuhusu faida utakayo ipata inategemea na jinsi wewe utakavo endesha na kuwekeza ,faida ipo View attachment 2547353View attachment 2547356
Hongera lwa kuanzisha online radio na kuweka tutorial hapa.

Umekuwa nayo kwa muda gani sasa?

Kuna changamoto zozote?
 
Kwa hiyo hakuna kibali cha tcra hapo
Kuhusu tcra siezi ongelea hapa nina radio huu mwaka 2 sasa sijafanikiwa kusajili tcrahttps://www.jamiiforums.com/threads/nimefanikiwa-kufungua-online-radio.1992713/
 
Kuhusu tcra siezi ongelea hapa nina radio huu mwaka 2 sasa sijafanikiwa kusajili tcrahttps://www.jamiiforums.com/threads/nimefanikiwa-kufungua-online-radio.1992713/
Radio yako inaitwaje niisikilize hapa
 
Back
Top Bottom