wakuu naomba msaada jins ya kupigwa bann hapa jf maana nasikia memba wanapigwa bann je huwa wanafanya makosa gani?

Fuata hatua rahisi zifuatazo
1. Ingia jukwaa la siasa
2. Tafuta mahali walipomtaja Wassira
3. Quote afu highlight jina la huyo jamaa
4. Muite jina la wale viumbe wa kule kwa mama Jane Goodall
5. Relax kwani tayari utakuwa kifungoni.