Msaada jinsi ya kupigwa Bann

Msaada jinsi ya kupigwa Bann

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,688
Reaction score
39,822
wakuu naomba msaada jins ya kupigwa bann hapa jf maana nasikia memba wanapigwa bann je huwa wanafanya makosa gani?
 
Bann????????????????????????????????????????????????????
 
kwa kuweka kitu kinachowaudhi Moderators, hapo umekwisha, swali gumu ni utajuaje kipi kinawaudhi, hapo wao wenyewe wanajua.
 
We jenga jenga mazoea na wake za watu humu jf uone!!
 
Nimewagi pigwa ban mara mbili...moja ilikuwa kwa ajiri ya barua aliyoandikiwa m.kwere baada ya mtoto wake kufeli, mi nikaikopy fb na kupaste hapa...nikala ban ya wiki!
Mara ya pili ilikuwa mdahalo wa Ndugai na Tundu lisu, sasa kwenye ile thread watu walimkrjeli sana ndugai na kufia hatua ya kumuita ma**....sasa kilichoniponza mimi nikakazia, watu wengi sana tulikula ban kwenye ule uzi!!
 
Nenda siasan kule zipo ban za kutoshaaaa
 
nitajaribu kuwaudhi moderators angalau nipigwe ban wiki mbili au tatu hivi
 
Kuna ndugu yangu kahtaan huwa anAkawaida ya kula ban Mara kwa Mara.ngoja aeleze maswahibu.ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Wanishangaza! Sijapata kusikia mtu akiuliza afanyeje aende jela.Nini
kinakufanya utamani jela ya JF?(Ban)
 
muulize huyu babalao ambalo kila baada ya wiki banned sio mwingine@matola aka le ......
 
Wanishangaza! Sijapata kusikia mtu akiuliza afanyeje aende jela.Nini
kinakufanya utamani jela ya JF?(Ban)

nimechoka life ya uraiani nataka niende jela mkuu
 
​
Life ya uraiani ina maana life ya JF. Vipi kiongozi, tumekuchosha na kukuudhi humu?

wala hamjaniudhi wadau ila nataka kufanya makosa nipewe adhabu maana sijawahi kukosea hapa jf. hope umenielewa
 
Back
Top Bottom