Msaada jinsi ya kumtrack ama kumfatilia mtu

Msaada jinsi ya kumtrack ama kumfatilia mtu

Kuna applicatipn inauzwa..unachofanya nikuweka namba ya simu then kila ukimpgia inakua inaonyesha alipo
Hakuna kitu kama hicho mtatapeliwa nyie na vi funny app hivyo kumbuka anatumia kitochi na hakina hata Internet
 
Sorry mkuu naomba kuuliza kwahyo hakuna huduma ya kuweza kujua mahali alipo mtu unayemtafuta moja kwa moja?
Kwa mfano nimeona yuko ilala je siwezi jua mtaa au hakuna kifaa maalumu kinachoweza kuwaelekeza kuwa ndo huyu?
Penda sana Dm ee ngoja ukapigwe vizuri huko ili iwe siri yako.

Kifupi hakuna njia yeyote ya kupata location ya alipo mtu anaye tumia feature phone isipo kuwa tuu kwa kutumia service providers au TCRA ambao nao watatumia towers location kubaini alipo na hapo bado huto pata accurate position kama ambavyo utampata anae tumia smartphones maana utaambiwa tu huyu mtu anaoneka katumia simu yake mara ya mwisho ngarenaro ila sasa ngarenaro uchochoro gani huwezi jua.

Na hapo hadi unafika hatua ya kupewa taarifa hiyo wakati tayari upo na kikosi cha cyber na upelelezi jeshi la polisi pamoja na kibali mkononi cha kufanya hivyo.

Kinyume na hapo wahuni watakutapeli pesa yako na huto fanikisha unacho taka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mlolongo wake ni mrefu sana.
Ni zaidi ya kununua simu nyingine mpya.
Labda kama huyo mtu amekuibia milioni 10 ndio itakuwa na faida kufuatilia vinginevyo utakuwa unauza ng'ombe kwa kesi ya kuku.
We haujaibiwa,either uende polisi ama uongee vizuri na mtu wa customer service,full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry mkuu naomba kuuliza kwahyo hakuna huduma ya kuweza kujua mahali alipo mtu unayemtafuta moja kwa moja?
Kwa mfano nimeona yuko ilala je siwezi jua mtaa au hakuna kifaa maalumu kinachoweza kuwaelekeza kuwa ndo huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vifaa vipo tena vya kukuchorea hadi raman ya alipo unaye mtafuta lakini vifaa hivyo vinafanya kaz vizuri endapo tu mnae mfuatilia naye anatumia kifaa au simu inayo ruhusu mawasiliano na hicho kifaa na hasa huwa kwa mara nyingi huwa ni GPS systems sasa kama mnaye mtafuta yeye anatumia simu isiyo na huo mfumo maana yake itakuwa ngumu kumpata hasa eneo alipo ila kitakacho fanyika ni kubaini tower id (mnara) ambayo simu yako iliitumia ili kufanya mawasiliano ya voice call .

Njia nyingine huwa ni kuangalia mawasiliano ya anao wasiliana nao ili kupitia hao muhusika apatikane hivyo kama muhusika hana sim ya kusaidia kumpata atatafutwa mwenye simu ambayo inauwezo wa kufanya mawasiliano na kifaa ndio kupitia call log yake na muhusika atapatikan.
 
Hapo nimeelewa ila cha ajabu tumekuwa tukiibiwa simu zetu na hazipatikani kabsa licha ya wezi wetu kuwa hewani.
Vifaa vipo tena vya kukuchorea hadi raman ya alipo unaye mtafuta lakini vifaa hivyo vinafanya kaz vizuri endapo tu mnae mfuatilia naye anatumia kifaa au simu inayo ruhusu mawasiliano na hicho kifaa na hasa huwa kwa mara nyingi huwa ni GPS systems sasa kama mnaye mtafuta yeye anatumia simu isiyo na huo mfumo maana yake itakuwa ngumu kumpata hasa eneo alipo ila kitakacho fanyika ni kubaini tower id (mnara) ambayo simu yako iliitumia ili kufanya mawasiliano ya voice call .

Njia nyingine huwa ni kuangalia mawasiliano ya anao wasiliana nao ili kupitia hao muhusika apatikane hivyo kama muhusika hana sim ya kusaidia kumpata atatafutwa mwenye simu ambayo inauwezo wa kufanya mawasiliano na kifaa ndio kupitia call log yake na muhusika atapatikan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwema, ebhana nahitaji kumfatilia mtu mpaka nimfikie alipo kwa kutumia simu au kifaa chochote ila uyu mtu hatumii simu ya smartphone anatumia simu ya kawaida ivyo naomba kwa yeyote mwenye kujua naweza kutumia njia gani kumtrack huyu mtu mpaka nikamfikia alipo tafadhali naomba sana anisaidie maana naamini atakuwa msaada na kwa wengine

Natanguliza shukrani sana kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia katika ili tatizo langu naombeni sana wadau mnisaidie najua humu kuna magwiji kweli kweli tafadhali naomba ushauri wenu huyu mtu anatumia simu ya kawaida na siyo smartphone!!

Usinifate inbox tafadhali, tafuta programmer au mtu anayejua code(PHP) akuandikie codes za kuopen location(gps) then zile longitides na latitudes ziwesaved kwenye server so kila anapotembea huyo mtu itakuwa inarekodi cordinates zake sasa zile cordinates (latitude na longitude) unatumia google map kupata location ya huyo mtu

Akishaandika hizo codes(PHP) amtumie huyo mtu kwa kuweka maneno mazuri kumshawishi abonyeze then akibonyeza utakuwa umepata taarifa zake,anaweza akamtumia whatsapp au kwenye email hiyo link lenye file la kuhack

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kusumbua watu humu kama una namba ya huyo mtu wewe nenda kwenye mtandao wa simu anayotumia kahonge watakusaidia. Huku hakuna mtu baki mwenye access na data za izo system za mitandao ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
ana hamu ya kuibiwa na anavyowaita huko pm ama anamtafuta wa kumkamata humu
 
Back
Top Bottom