Msaada jinsi ya kumtrack ama kumfatilia mtu

Msaada jinsi ya kumtrack ama kumfatilia mtu

Hapo inahitajika kuhusisha mtandao wa simu au vyombo vya sheria(polisi) kwa sababu sidhani hapa kama kuna mtu ana-access na data za mtandao husika. Tofauti na hapo haiwezekani.
 
Wakuu kwema, ebhana nahitaji kumfatilia mtu mpaka nimfikie alipo kwa kutumia simu au kifaa chochote ila uyu mtu hatumii simu ya smartphone anatumia simu ya kawaida ivyo naomba kwa yeyote mwenye kujua naweza kutumia njia gani kumtrack uyu mtu mpaka nikamfikia alipo tafadhali naomba sana anisaidie maana naamini atakuwa msaada na kwa wengine

Natanguliza shukran sana kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia katika ili tatizo langu naombeni sana wadau mnisaidie najua umu kuna magwiji kweli kweli tafadhali naomba ushauri wenu uyu mtu anatumia simu ya kawaida na siyo smartphone!!

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu pm nimekutumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana... Ngoja waje kukupa muongozo...

Umetumia mtu pesa sasa unataka kum-track...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom