Msaada jinsi ya kumtrack ama kumfatilia mtu

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,236
Wakuu kwema, ebhana nahitaji kumfatilia mtu mpaka nimfikie alipo kwa kutumia simu au kifaa chochote ila uyu mtu hatumii simu ya smartphone anatumia simu ya kawaida ivyo naomba kwa yeyote mwenye kujua naweza kutumia njia gani kumtrack huyu mtu mpaka nikamfikia alipo tafadhali naomba sana anisaidie maana naamini atakuwa msaada na kwa wengine

Natanguliza shukrani sana kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia katika ili tatizo langu naombeni sana wadau mnisaidie najua humu kuna magwiji kweli kweli tafadhali naomba ushauri wenu huyu mtu anatumia simu ya kawaida na siyo smartphone!!
 
Wakuu toeni msaada apa tafadhali ama kama unaiweza kazi hii basi njoo Dm tufanye maongezi tafadhali kwa yeyote mwenye mawazo juu ya hili anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalipa Tsh ngapi nikupe mtu wa Cyber Crime unit Central akufanyie kazi yako? Unamnyaka kama kuku aliyepatwa na kideri.
Yey uyo mtu wa crime investigation crime center anataka kulipwa sh ngapi maana yeye ndo anayeifanya hii kazi kwaiyo aseme anataka kulipwa sh ngap mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona amesema atalipa kama kuna mtu anaweza.

Na unaposema hapa jukwaani haiwezekani ina maana unajua watu wote humu? Kuna watu wa kila taaluma na utaalamu wa mambo makubwa usifikiri hili ni genge la walevi.


Mkuu Ufahamu hilo nikosa kisheria sasa nitoe maelezo yakufanya hiyo kaz then niingie matatizoni labda DM
 
Apana wala hajaniibia mkuu kama unaweza kuifanya hii kazi tafadhali njoo Dm tufanye maongezi ili unifanyie kazi yangu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kusumbua watu humu kama una namba ya huyo mtu wewe nenda kwenye mtandao wa simu anayotumia kahonge watakusaidia. Huku hakuna mtu baki mwenye access na data za izo system za mitandao ya simu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Ufahamu hilo nikosa kisheria sasa nitoe maelezo yakufanya hiyo kaz then niingie matatizoni labda DM
Ndio nimekwambia njoo Dm tuelewane kazi kama unaiweza basi unisaidie mzee uyu mtu mimi namtafuta kwa nia njema kabisa wala si kwa nia mbaya kama ukija Dm nitakwambia sababu mzee amini tafadhali kama unao msaada emu nisaidie kijana mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom