Msaada jinsi ya kumtrack ama kumfatilia mtu

Msaada jinsi ya kumtrack ama kumfatilia mtu

Kaka kama unaweza njoo Dm tufanye biashara pls namtafuta kwa nia njema kabisa na wala hajaniibia mzee kama unaweza njoo Dm mkuu nitakulipa broo!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa ushauri tu, usilipe hadi umpate mtu wako kwanza maana watakuja matapeli wa kila aina huko PM.
 
Mimi kuna kipindi MPAWA walikuwa wananidai buku, sasa wakawa wananisumbua sana kwa vitisho vya sms badae kupiga simu kabisa. Wakaniuliza niko wapi ili waje wanikamate? nikawaambia nipo Msewe! wakasema mbona upo UDSM! Pale ndio nikajua hili swala ni gumu kiasi gani.
 
Unazani jamaa ni mjinga kutumia kitochi huwezi kupata kwa kumtrack hadi inaingia kaburini ankai

Sent using IPhone X
 
Wakuu kwema, ebhana nahitaji kumfatilia mtu mpaka nimfikie alipo kwa kutumia simu au kifaa chochote ila uyu mtu hatumii simu ya smartphone anatumia simu ya kawaida ivyo naomba kwa yeyote mwenye kujua naweza kutumia njia gani kumtrack huyu mtu mpaka nikamfikia alipo tafadhali naomba sana anisaidie maana naamini atakuwa msaada na kwa wengine

Natanguliza shukrani sana kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia katika ili tatizo langu naombeni sana wadau mnisaidie najua humu kuna magwiji kweli kweli tafadhali naomba ushauri wenu huyu mtu anatumia simu ya kawaida na siyo smartphone!!
Mkuu nenda polisi. Hiyo huduma IPO huko , ikitaka kufanya kiswahili Swahili ni kosa kisheria , nakushauri nenda polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yohas kuna pesa uku ya kutrack simu njooo haraka, kuwa makini hamna pesa saivi watu tunazisaka tusije pata kwako.

Nenda police kitengo cha Cybersecurity tafuta mtu mkatie kidogo atakusaidia ila uwe na IMEI no ya simu husika

Kama huna nenda serves provider watakupa hadi uwe na RB ya case.
 
Mimi kuna kipindi MPAWA walikuwa wananidai buku, sasa wakawa wananisumbua sana kwa vitisho vya sms badae kupiga simu kabisa. Wakaniuliza niko wapi ili waje wanikamate? nikawaambia nipo Msewe! wakasema mbona upo UDSM! Pale ndio nikajua hili swala ni gumu kiasi gani.
Kwamba ulikuwa unasumbuliwa kwa sababu ya buku tu [emoji1787]
 
Kuna mtaalamu humu ndani wa kutrack simu ililoibwa Tena alisema hata wachange vipi IMEI bado ana uwezo wa kumdaka mwizi huyo,najitahidi kumkumbuka lakini sifanikiwi,Nina shida naye sana Kama Kuna mtu anamfahamu atende msaada hapa tafadhali.
 
Kwamba ulikuwa unasumbuliwa kwa sababu ya buku tu [emoji1787]
Hao voda com kweli walidata maana mpaka hatua hiyo sio kazi rahisi, kweli buku inawatoa utu 😀
 
Kuna mtaalamu humu ndani wa kutrack simu ililoibwa Tena alisema hata wachange vipi IMEI bado ana uwezo wa kumdaka mwizi huyo,najitahidi kumkumbuka lakini sifanikiwi,Nina shida naye sana Kama Kuna mtu anamfahamu atende msaada hapa tafadhali.
Tapeli Yule hana lolote aisee, suruhisho mji police tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu toeni msaada apa tafadhali ama kama unaiweza kazi hii basi njoo Dm tufanye maongezi tafadhali kwa yeyote mwenye mawazo juu ya hili anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Penda sana Dm ee ngoja ukapigwe vizuri huko ili iwe siri yako.

Kifupi hakuna njia yeyote ya kupata location ya alipo mtu anaye tumia feature phone isipo kuwa tuu kwa kutumia service providers au TCRA ambao nao watatumia towers location kubaini alipo na hapo bado huto pata accurate position kama ambavyo utampata anae tumia smartphones maana utaambiwa tu huyu mtu anaoneka katumia simu yake mara ya mwisho ngarenaro ila sasa ngarenaro uchochoro gani huwezi jua.

Na hapo hadi unafika hatua ya kupewa taarifa hiyo wakati tayari upo na kikosi cha cyber na upelelezi jeshi la polisi pamoja na kibali mkononi cha kufanya hivyo.

Kinyume na hapo wahuni watakutapeli pesa yako na huto fanikisha unacho taka.
 
Ndio nimekwambia njoo Dm tuelewane kazi kama unaiweza basi unisaidie mzee uyu mtu mimi namtafuta kwa nia njema kabisa wala si kwa nia mbaya kama ukija Dm nitakwambia sababu mzee amini tafadhali kama unao msaada emu nisaidie kijana mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile
Kuna mtaalamu humu ndani wa kutrack simu ililoibwa Tena alisema hata wachange vipi IMEI bado ana uwezo wa kumdaka mwizi huyo,najitahidi kumkumbuka lakini sifanikiwi,Nina shida naye sana Kama Kuna mtu anamfahamu atende msaada hapa tafadhali.
Tapeli yule ingia uliwe
 
Back
Top Bottom