Asante sana kwa ushauri wako, binafsi sihitaji Visa card ambayo imeunganishwa na account yangu, nilitaka kupata ya BancABC kwa sababu ntakuwa najaza pesa pekee na nafanya manunuzi na si kupitia account yangu ya Benki ambayo benki zingine zinafanya hivyo.Si lazima iwe BankABC.
Waweza tumia Equity / CRDB / UBA / etl
Angalia ni benk ipi ipo eneo husika , nenda kaulize huduma
Hata Mimi hiyo ya BancABC naona ni nzuri zaidi kwasababu inakuweka salama na taarifa zako za akaunti ya benki.Asante sana kwa ushauri wako, binafsi sihitaji Visa card ambayo imeunganishwa na account yangu, nilitaka kupata ya BancABC kwa sababu ntakuwa najaza pesa pekee na nafanya manunuzi na si kupitia account yangu ya Benki ambayo benki zingine zinafanya hivyo.
Nimekuelewa vyemanilitaka kupata ya BancABC kwa sababu ntakuwa najaza pesa pekee na nafanya manunuzi na si kupitia account yangu ya Benki
Nashukuru mkuu imeshakubali ku link na paypal na purchase nkafanya bila kujaza verification code vip itakuwa na usumbufu wowote bila kuijaza hyo code??Pindi uchukuapo kadi mhudumu atakwambia iko tayari kwa matumizi.
Ila kimsingi huwa bado hawajafanyia activation upande wa online transaction
Hivyo rudi kwenye tawi husika waeleze kuwa unashindwa kufanya transaction, Watachukua kadi yako na watafanya mawasiliano na kitengo husika.
Baada ya dakika chache utarudishiwa kadi na itakuwa tayari kwa matumizi.
Kwa kujiridhisha jaribu kui_add kadi paypal ukiwa bado hujaondoka.
Ni uzembe wao kutokamilisha taratibu zote awali pindi unakabidhiwa kadi, ukizingatia ulishaomba wafanyie activation online transaction.
Haina usimbufu. Wowote.Nashukuru mkuu imeshakubali ku link na paypal na purchase nkafanya bila kujaza verification code vip itakuwa na usumbufu wowote bila kuijaza hyo code??
Mwl. Msaada wako lazima niconfirm kad ya bank baada ya kuilink na pay pal ili niweze kuitumia je kama unatumia kaz ya Equity nawezaje kupata zile code za kuconfirm.. Nazipataje na wapi baada ya PayPal kukata ile dollar 1.8...Hiyo top up kwa njia ya simu hela inaingia kwenye account gani kama hauna account kwenye Bank ya BancABC ?
- Kwanza ni lazima uwe na bank account au cash card( Bila ya bank account) katika benki husika ndipo utaweza kutumia mobile service waliyo nayo. Kwa kutumia menu ya mpesa au tigo pesa kuna orodha ya benki zaidi ya ishirini, hivyo utaangalia benki yako kwenye hiyo orodha.
- Hivyo pasipokuwa na account au cash card hutoweza kutumia hizi Bank mobile service kutuma fedha benki.
Najua kawaida card huwa wanalink na account ya bank hapa sijaelewa kabisa.
- Kwa upande mmoja upo sahihi. Card ya benki huwa iko linked na account ya benki.
- Ila kwa sasa benki zimeleta hizi "cash Card" ambapo wewe unanunua cardi, unaweka fedha na kufanya miamala pasipo kuwa na account ya huduma za kifedha katika hiyo benki.
- Fomu ujazayo pindi unataka Card pekee ni tofauti na fomu ujazayo pindi unapotaka kufungua account ambayo itaambatana na card ya benki.
Pia unaangalia vipi salio katika card yako?
- Utaingia kwenye menu ya huduma ya kibenki katika simu yako kutegemea na benki husika ili kuangalia salio kwa kutumia USSD codes za benki hiyo.
- Mfano CRDB simbanking unapiga *150*03# then fuata maelekezo waweza kuangalia salio na kufanya miamala kupitia simu yako.
- Kwa NMB Mobile piga *150*66# pia hapo utafuata maelekzo ya huduma ya kibenki unayotaka.
Nenda tawi la benki kalibu nawe - omba account statement utazona codes husika kwenye huo muamala wa 1.8usdNazipataje na wapi baada ya PayPal kukata ile dollar 1.8...
Si lazima ,kikubwa ni kufanikiwa ku_link card husika.Mwl. Msaada wako lazima niconfirm kad ya bank baada ya kuilink
Baada ya kufanya transaction nawezaje kuangalia statement za online transaction.. Kwa bank ya Equity mkuu samahan kwa maswal kidogo. Au app ya Ezzy247. Inaonyesha pia.Nenda tawi la benki kalibu nawe - omba account statement utazona codes husika kwenye huo muamala wa 1.8usd
Si lazima ,kikubwa ni kufanikiwa ku_link card husika.
Fanya manunuzi na muamala utakamilika bila tatizo.
Zoezi la ku_confirm kadi utafanya wakati wowote.
Baada ya kufanya manunuziBaada ya kufanya transaction nawezaje kuangalia statement za online transaction.
Taarifa utakayopata ni kiasi cha fedha kilichokatwaAu app ya Ezzy247. Inaonyesha pia.
ShukraniBaada ya kufanya manunuzi
- Utapokea sms - ikiwa na taarifa zote muhimu kuhusu huo muamala
- Pia ukiangalia kwenye app utaona muamala husika.
Taarifa utakayopata ni kiasi cha fedha kilichokatwa
Ukiitaji details zaidi ya hayo malipo
- Ingia paypal na click muamala husika
- Pia waweza kwenda benki na kuomba account statement
Kwa sasa wanafanya kwa tsh 15'000, badala ya kiwango cha awali cha 5'000.
itagata , uzuli wa bankABC utaweza anza kuitumia kadi yako ndani ya dk.30 baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu. Na kuweka kiasi unachotaka kutumia.
Hivi mkuu kati ya Card ya usd na ya Tsh ipi ina makato madogo? nauliza hivyo kwa sababu nilikuwa na card ya usd sasa unakuta nimedeposit $100 lakini nakuta nina $70, mpaka ikabidi niachane nao niende equity, makato yao sikuyaelewa, hebu nifafanulie kidogo
Card #1: Ni ya dola - Nilinunua kwa usd 20. Sina hakika kama bei yake imebadilika au imebakia bei ya awali, Sikuuliza pindi na re_new card ya TSH.
Card #2: Nilinunua kwa tsh 5'000 - imeisha muda wake tangu feb. 2016.
Card #3: Nimeichukua january mwaka huu. Waliniuzia kwa tsh 15'000
NB: Kadi ya dola huwa siitumii, Sababu ni lazima ufike kwenye tawi lolote la BankABC ili ufanye Top Up. Huwezi kutumia mobile service. System yao hairuhusu kufanya top up kwa njia ya simu.
Wakati kwa kadi ya TSH waweza fanya top up kwa kutumia Tigo pesa na mpesa - Hivyo hii imekua huduma rafiki kwangu.
Inatakiwa ufahamuaina tofauti tofauti account katika benki husika.nauliza hivyo kwa sababu nilikuwa na card ya usd sasa unakuta nimedeposit $100 lakini nakuta nina $70,
Sio card ya USD au TZS.Hivi mkuu kati ya Card ya usd na ya Tsh ipi ina makato madogo?
Thanks bro,Inatakiwa ufahamuaina tofauti tofauti account katika benki husika.
Kuna account zenye makato na accountzisizo na makato.
Pitaia hii thread:
Hivyo fanya uchaguzi sahihi wa benki na aina ya account unayohitaji.
Sio card ya USD au TZS.
Bali unatakiwa kujua nia aina gani ya account yenye makato kidogo aua isiyo na makato kabisa.
Hivi bancABC naweza ipata mkoani.?huwezi kuzifuta hizo email zilizojaa?
kama wanataka visa paypal haina haja hapo nenda bancABC ipo kkoo mtaa wa msimbazi kama unaenda Fire kanunue kadi ya visa 5,000 tu bila kufingua acount jaza hela kwa kutumia tigo pesa au mpesa halafu fanya manunuzi
labda Arusha. ila mikoa mingine haipo. Angalia UBA banks ni kama BancABC, wapo mikoa mingi kidogo.Hivi bancABC naweza ipata mkoani.?