Msaada - Jinsi ya kulipia akaunti ya Gmail

Sasa hivi wamepandisha ni 15,000 mm nimetoka kumchukulia jamaa wangu pale upanga brach (Uhuru heights) wakaniambia sasa hivi ni 15,000 ndio unalipia pale kwa teller ndio kianzio
 
Unapata kadi on spot?
 
Sasa hivi wamepandisha ni 15,000 mm nimetoka kumchukulia jamaa wangu pale upanga brach (Uhuru heights) wakaniambia sasa hivi ni 15,000 ndio unalipia pale kwa teller ndio kianzio
Nashukuru wadau, lakini naomba kuuliza hiyo kadi ya T. shillings itaweza kunisaidia kulipia hii akaunti ya Gmail au ni lazma niwe na kadi ya Dola?
 
unaposema kianzio inamaana inarudi kwenye acount?
 
I mean minimum amount required to open account!
 
Nashukuru wadau, lakini naomba kuuliza hiyo kadi ya T. shillings itaweza kunisaidia kulipia hii akaunti ya Gmail au ni lazma niwe na kadi ya Dola?
ndio utalipa na ya shilingi sema wataconvert kwenda dola kupitia viwango vya siku uliyolipia
 
Hivi Tanzania bado haipokei malipo kupitia PayPal??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…