MSAADA: Naomba muongozo jinsi ya kutuma maombi ya leseni LATRA kwa kutumia IMS

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Naomba msaada namna ya kuomba maombi ya leseni ya chombo cha usafiri (Gari ya mizigo), nikijaribu naambiwa niweke taarifa za Afisa Usafirishaji. Sielewi niweke taarifa gani.

Naombeni msaada waheshimiwa.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom