Msaada: Jinsi ya ku-upload pics kwenye post za Jf.

newattachment.php
. Inakuwaje? Mbona namaliza wiki? Sijajua?
Fanya hivi:
  • Fungua picha unayoihitaji toka kwenye site ilipo hiyo picha, (google). NB: Kama unatumia Opera Mini hakikisha unaifungua hiyo picha mpaka browser yako inakufikisha mahali ambapo pale chini kuna neno "zoom". Ili ulione kwa urahisi zaidi hakikisha setting ya browser yako haipo kwenye "full screen mode".
  • Ukishafanikiwa kuliona hilo neno, hapo kushoto kwake kuna neno "option". Click hapo.
  • Ukisha-click hapo utaona maandishi yamejitokeza hapo. Select "tools", then> "Add Bookmarks".
  • Ukisha select hapo utaona address inaonekana ( kama hivi:- http://www...). Sogeza hiyo kasa yako mpaka kwenye hiyo address kisha select hapo.
  • Utakachokiona hapo ndio link ya hiyo picha unayoitaka. Unachotakiwa kufanya hapo ni kui-copy hiyo link.
  • Kui-copy hiyo link bonyeza "option" then >"mark all" then>"copy" then> "OK".
  • Mpaka hapo utakuwa umeshai-copy hiyo picha yako tayari.
  • Kurudi tena Jf bonyeza "option" hapo chini, then "Start Page. Baada ya hapo unaweza kwenda kwenye "Reply" au "New Post", ukifika huko bonyeza "option" then>
    then "Submit Reply".
Ukichemka na hapa tena KOJOA UKALALE ukiamka rudia tena utafanikiwa...
 
Ahsante mkuu Mawaiba. Ngoja nijaribu na mm.
New-Years-Fireworks-new-year-celebrations-482909_800_600.jpg
 
Najaribu,
 
Mimi hiyo icon ya attachment inaonekana tu kwenye kureply na haionekani ninapopost post yangu mwenyewe. Hapo inakuaje?
format ya picha unayotaka ku-upload haiendani na mfumo wa JF. Picha za format ya ".PNG" ndiyo zinafaa
 
Back
Top Bottom