Msaada: Jinsi ya ku-upload pics kwenye post za Jf. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Jinsi ya ku-upload pics kwenye post za Jf.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mawaiba, Jun 2, 2012.

 1. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari za weekend wakuu. Naomba maelekezo toka kwenu wana-JF. Natumia mobile phone, Nokia 2730, ambayo ina built-in browser; Opera Mini. In addition ninayo version nyingine inayoitwa Opera Mini Next. Naomba kama kuna anayejua jinsi ya ku-upload image files kwenye posts zetu tunazozirusha hapa janvini kupitia devices kama hii yangu anipe maelekezo. Thanks in advance, nice day 4 u..!​
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Si unaclick attach then unaselect picha yenyewe kisha una submit.
   
 3. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thank you. Nilidhani option hii ingekuja na file kama attachment. Nashukuru sana mkuu. Na inakuwaje kama nataka ku-insert image directly kwenye post?, i.e. I mean hiyo image ionekane moja kwa moja kwenye post bila kufungua attachment?, kama wanavyo fanya kwenye jamii photo?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hatimaye tumekutana tena hapa,hebu nifundishe king,maana huwa zinakataa ati,nafata those steps nikiwa na mobile yangu
   
 5. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Poa sana mkuu, nashukuru kwamba tuko pa1. Hebu tupeni mwongozo wakuu..
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mimi kila napojaribu huwa inakataa,,,na hii pia imekataa,,,sijui tatizo nini,nikishaclick UPLOAD,then inanambia close window,napoclose hunambia
  'BAJABIRI U DON HAVE PERMISSION TO ACCESS,sijui nini na nii,aaaargh
   
 7. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ngoja tuwaachie wataalamu watupe vitu. Wakuu your assistance please...
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  KINGKONG III,njoo haba bhana usaidie jahaz la muungano linazama,how will we apuloDi pikicha????
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Any info???
   
 10. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Hebu Jaribuni ku-upload picha kwa kubonyeza pale kwenye attachment halafu tafuta Picha kwenye simu yako then Upload, ikishamaliza usi-close window. We bonyeza BACK mpaka Pale SUBMIT halafu u-click hiyo SUBMIT.. JARIBU HII PLEASE IT WORKS

  MTANDAO HUKU UNASUMBUA SIJUI LEO KUNA NINI
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mimi hiyo icon ya attachment inaonekana tu kwenye kureply na haionekani ninapopost post yangu mwenyewe. Hapo inakuaje?
   
 12. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Ehe. Mbona Mi nikitaka kupost Thread Mpya inaonekana.....
   
 13. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ku upload kutoka kwenye cm,ts pocble ila kuiweka pic hapo ni shughuli maana inabdi udrag hiyo pic kwenye timeline sasa kwenye 4ne cidhan kama hicho ki2 kinawezekana,but pic za mtandaoni mzka sana 2 kama hivi. Any1 interested?
  [​IMG]
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  asante mdau kwa darasa HURU KUPITIA JUKWAA HUTIA
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nimeshindwaaaaaa
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  so ku-upload from my fone haiwezekani?????[b/]
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  mimi nazungumzia post sio thread mpya!
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nami huko huko ndo kunantatiza
   
 19. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145


  ku upload waweza(ukiclick kwenye attachment pale) but kuiweka sasa kwenye uzi ndo haiwezekan kwa cm(not dat i know of anyway). But unachoweza kufanya kwenye cm ni kupost pic zilizo mtandaon kwa ku2mia code kama nlivofanya hiyo pic hapo juu
   
 20. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  OKAY GUYS.
  JF hapo chini kwenye kupost Hawajaweka Option ya Attachment

  NJIA RAHISI NI HII.
  Tafuta Post ya Mtu yeyote hapa halafu Reply. Ukisha-reply futa zile reply code zake na Maandishi . Mfano

  [QUOTE =Bajabiri;3980740]nami huko huko ndo kunantatiza [/QUOTE]

  Futa zote hizo halafu weka maneno yako.. Ukishamaliza fuata maelezo niliyotoa hapo juu
   
Loading...