Msaada: Jinsi ya ku-upload pics kwenye post za Jf.

Bajabiri nipo porin network inasumbua kidogo,ngoja nikifika kwa DESKTOP. nitaweka procedure
 
ila minlposoma maelezo inakwambia uz computer 2 upload

Mi nimesha-upload kwa njia ya Mobile sema sa hivi mtandao unasumbua

Follow post hii utaona:https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/271869-cm-cm-uzd-4-sell.html#post3978542
 
Mnaotaka KUWEKA PICHA KATIKA THREAD FUATENI MAELEKEZO HAYA,
KWANZA TAFUTA LINK YA HIYO PICHA THENI FANYA HIVI
[ img ]HAPA WEKA IMAGE LINK[/img] KUMBUKA KUTOLUKA NAFASI HAPO KWENYE =
Mfano: image link yangu ni http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg
so itakua hivi[ img ]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg[/img] sasa wewe usiluke nafasi humo ndani ya mabano KAMA MIMI NISINGE LUKA INGE ONEKANA HIVI
211187_135522666523853_7224822_n.jpg

JARIBU ALAF ULETE FEEDBACK
UKISHINDWA USISITE KUULIZA
 
mimi nazungumzia post sio thread mpya!
Nafikiri ingekuwa vizuri kwa zote mbili. Tatizo ni ku-upload files kwenye web page, esp. hapa jf, lkn hilo file iisiwe attachment kwenye post.
 
mimi nazungumzia post sio thread mpya!
Nafikiri ingekuwa vizuri kwa zote mbili. Tatizo ni ku-upload files kwenye web page, esp. hapa jf, lkn hilo file iisiwe attachment kwenye new post au reply.
 
KAMA UKISHINDWA JARIBU HIYO YA NINGAR Kwanza. Ila condition yake ni mpaka utoe picha kwenye website si simu yako..
 
Mnaotaka KUWEKA PICHA KATIKA THREAD FUATENI MAELEKEZO HAYA,
KWANZA TAFUTA LINK YA HIYO PICHA THENI FANYA HIVI
[ img ]HAPA WEKA IMAGE LINK[/img] KUMBUKA KUTOLUKA NAFASI HAPO KWENYE =
Mfano: image link yangu ni http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg
so itakua hivi[ img ]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg[/img] sasa wewe usiluke nafasi humo ndani ya mabano KAMA MIMI NISINGE LUKA INGE ONEKANA HIVI
211187_135522666523853_7224822_n.jpg

JARIBU ALAF ULETE FEEDBACK
UKISHINDWA USISITE KUULIZA
Ahaa..! Sasa hapa safi, lkn inapokuwa hiyo image ipo kwenye device yangu i.e. kwa mfano ni pic niliyoipata kupitia camera ya simu yangu, hiyo link nitaifanyaje?
 
Hata Huyu kafanya kama NINGAR
all_around_good_guy_tshirt-p235404086647393317yyae_400.jpg

Nime2mia MOBILE kufanya hivi. Hata wewe unaweza
 
Bajabiri nipo porin network inasumbua kidogo,ngoja nikifika kwa DESKTOP. nitaweka procedure
King Kong v/s Godzilla..., mkuu uko pori gani tena saa hizi, Amazon au Congo...?, teh...teh.. Poa rafiki tuko pamoja.
 
Hebu Jaribuni ku-upload picha kwa kubonyeza pale kwenye attachment halafu tafuta Picha kwenye simu yako then Upload, ikishamaliza usi-close window. We bonyeza BACK mpaka Pale SUBMIT halafu u-click hiyo SUBMIT.. JARIBU HII PLEASE IT WORKS

MTANDAO HUKU UNASUMBUA SIJUI LEO KUNA NINI
Asante Mkuu, ngoja nijaribu hapa...
 
Hata Huyu kafanya kama NINGAR
all_around_good_guy_tshirt-p235404086647393317yyae_400.jpg

Nime2mia MOBILE kufanya hivi. Hata wewe unaweza

yeah,ila kama pic imo kwa mobile ni shughuli i dunno kama inawezekana kuipost,unweza 2 kuiupload ila kuiingiza kwenye post...
 
Ahaa..! Sasa hapa safi, lkn inapokuwa hiyo image ipo kwenye device yangu i.e. kwa mfano ni pic niliyoipata kupitia camera ya simu yangu, hiyo link nitaifanyaje?

KaMa UNA JF APPLICATION IN UR PHONE ITAKUA SIMPLE, BUT KAMA HAUNA FANYA HIVI
1. UPLOAD HIYO PICTURE KAMA ATTACHMENT
2. CLICK HIYO ATTACHMENT THEN COPY HIYO LINK KWENYE BROWSER YAKO
3. EDIT YOUR REPLY
HOPE THIS WILL WORK
 
Thanks a lot, let me try this way.
 
Back
Top Bottom